Mbona ndoa zingine na nyepesi sana laki na nusu tu, nakutumia kabisa laki tano af ananipa ruhsa kamiri ya kuchepuka.....Ndoa zinavituko sana, huyu jamaa yangu baada yakwenda kuoga si kaacha simu open
MKE kakuta Sms kibao za Mchepuko naugomvi ukaanza hapo ni full makelele,
Asubuhi mwanamke karudi kwao, wazazi wakasuruhisha lakini mwanamke kagoma Rudi kwa jamaa mpaka ATUMIWE LAKI nanusu..
WAtoto kaachiwa jamaa, wawazazi wake wako upande wamwanamke, na hapa ndio kaja niomba ushauri amtumie au asitume....asiee changamoto sana
(Kazini hawezi kwenda mtoto mmoja anakamamwaka kama nanusu hivi).
Mmmh hukutoa mahari??Sio nauli anasema ni kama adhabu yake😂
Halafu nayeye hiyo laki na nusu anaita BODANODA WAKE,wanajifungia ghetto,full kuchakatwa,mkirudi nyumbani kila huyo kasharidhika.Ndoa ya hivi inakua BAMBAM.Huyu anachakata nje,huyu anachakatwa nje,nyumbani ni kulea tu mtoto.UNA akili nyingi sana.Mbona ndoa zingine na nyepesi sana laki na nusu tu, nakutumia kabisa laki tano af ananipa ruhsa kamiri ya kuchepuka.....
Ngoja nimshauri hivyo, was was upo kwa huyo mtoto mdogo,Huyu kamzoesha hivyo lkn pia mke ni wako kuepusha kelele tuma hiyo pesa mambo yaendelee hata yeye kakumbuka kurudi aje mpeane tuma tu kwani tunahonga sh ngapi bwanaaa
Siku nyingine zingatia mahudhurio