Mke agoma kurudi hadi atumiwe Laki na nusu

Mwambie aache upuuzi na ujinga..., Ni busara na gharama ndogo kupoteza battle ili uweze kushinda Vita...

Yaani yeye ndio mpuuzi na kashikwa kwenye upuuzi bado anataka kujifanya hana makosa.. Na sababu waswahili wa pemba mnajuana kwa vilemba siku na wewe yakikukuta yamalize kwa kuyaoga baada ya kuyavulia nguo....
 
Changamoto sana😁
 
Sa laki na nusu akipewa ndo itamsaidia Nini?
Kama ni fine si basi anagemchaji million Moja?
Kwamba Kila akikutwa na tukio mil Moja angalau itamtia adabu huyo bwana
Ila ndoa Zina vituko🤣
Million siatavunja nandoa yenyewe😂😂
 
KWamaelez nikama adhabu kwa jamaa
Ndo maana nikasema Kwa mke na mume Ni hela kubwa kwao,maana kuna njemba ukiiambia hivyo tu utasikia Kata simu,baada ya dakika 2,nimekuhamishia hapo haya Rudi nyumbani! Linaendelea kuchepuka Kwa speed ya 5g🤓🤓🤓🤓🤓
 
atume na ya kutolea
 
Sa laki na nusu akipewa ndo itamsaidia Nini?
Kama ni fine si basi anagemchaji million Moja?
Kwamba Kila akikutwa na tukio mil Moja angalau itamtia adabu huyo bwana
Ila ndoa Zina vituko🤣
Hii haina tofauti na kuiba pesa mfuko wa shati na kuweka mfuko wa suruali.., sasa akichaji pesa nyingi zaidi alafu ikapunguzwa kwenye matumizi faida au hasara ya nani ?

Issue ni kwamba (kama ni kweli hii ni kahawa na sio chai); jamaa amatoka lightly kwahio aombe msamaha amsingizie shetani na aseme harudii tena (au katika wizi wake awe more careful) na kutoa chochote mke anataka. Pia katika mwezi mzima baada ya hili tukio awe anarudi mapema na ikibidi wikiendi anakaa home...; au kama mke amekasirika sana hata ajifanye ameokoka na kuanza kusoma Bible au Msahafu kila jioni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…