Mke agoma kurudi hadi atumiwe Laki na nusu

Hhha hayo yamekaq sawa ila hataki KURUDI MPAKA apate hiyo pesa
 
Inaonyesha we ni nguli wa haya mambo..unasoma bible huku unamuwaza mwajuma
 
Imani imekuwa ikitumika kama tool tangia enzi na enzi waulize wanasiasa / watawala watakwambia ni vipi inawasaidia...;

Tukirudi kwenye mada, ukizingatia kuna mstari wa till death do us apart na kuna shetani wa kumtupia lawama (what can go wrong) ?
 
huyo mwanamke anataka aonekana hajarudi bure,,,,atarudi tu maana wanawake wanapenda wanaume wenye matukio...
 
Imani imekuwa ikitumika kama tool tangia enzi na enzi waulize wanasiasa / watawala watakwambia ni vipi inawasaidia...;

Tukirudi kwenye mada, ukizingatia kuna mstari wa till death do us apart na kuna shetani wa kumtupia lawama (what can go wrong) ?
Unajua unanichekesha Kwa comments zako?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…