Sure, marehemu alikuwa hajipendi, mtu anayejipenda na kujithamini hawezi kujiua kisa mtu mwingine kagawa kikojoleo chake.Mtu anayeona maisha yake hayana thamani wala umuhimu hawezi kosa sababu ya kufa.
Mimi hivyo huwa siwezi, nikikasirika ni tutagombana mpaka hasira ziishe halafu tunaendelea na maisha.Mimi wangu alitaka kujiua yeye🤣🤣🤣 Manake nilitulia, nilikuwa namfanyia kila kitu kama kawaida....nampikia, namfulia, akiomba utamu nampa.....akapagawa🤣🤣🤣🤣
Ila hadi Leo hajiamini, anajua kuna tukio linamngoja🤣🤣🤣
acha kabisa mpaka mtu mzima anaamua kujitundika sio kazi ndogo.Sana Mkuu.
Mbaya zaidi hatujui alikutana na nini huko! Mpaka mtu anafikia hatua ya kujitoa uhai sio mchezo!
hata mimi siwezagi kuvunga aise siku hio patachimbika bila jembeMimi hivyo huwa siwezi, nikikasirika ni tutagombana mpaka hasira ziishe halafu tunaendelea na maisha.
hata mimi siwezagi kuvunga aise siku hio patachimbika bila jembeMimi hivyo huwa siwezi, nikikasirika ni tutagombana mpaka hasira ziishe halafu tunaendelea na maisha.
Sasa nikasirike nini wakati nilikuwa na bebi wa akiba🤣🤣🤣Mimi hivyo huwa siwezi, nikikasirika ni tutagombana mpaka hasira ziishe halafu tunaendelea na maisha.
Kamanda alikuwa hahudhurii vikao, vile wajumbe tulivyokuwa tunakazia suala la bebi wa akiba alikuwa anatuona wahuni🤣🤣🤣Alazwe pema peponi kamanda
Sasa kufuta hiyo vipi tena jamani?acha kabisa mpaka mtu mzima anaamua kujitundika sio kazi ndogo.
Wanaume wenzangu tuwe na utaratibu wa kufuta sms after chatting ili kuepukana na majanga haya
Hivi mnawezaje kuwa na wa akiba mbona mimi nimeshindwa?Kamanda alikuwa hahudhurii vikao, vile wajumbe tulivyokuwa tunakazia suala la bebi wa akiba alikuwa anatuona wahuni🤣🤣🤣
Sasa Kati yetu wahuni na yeye aliyejiua nani atauona ufalme wa Mungu?🤣🤣🤣🤣 Na akumbuke watoto wanasubiriwa na vinyungutu vya mama wa Kambo🤣🤣🤣
Kujiua hapana asee angeleft tu akakamatia bebs mwingine chapKamanda alikuwa hahudhurii vikao, vile wajumbe tulivyokuwa tunakazia suala la bebi wa akiba alikuwa anatuona wahuni🤣🤣🤣
Sasa Kati yetu wahuni na yeye aliyejiua nani atauona ufalme wa Mungu?🤣🤣🤣🤣 Na akumbuke watoto wanasubiriwa na vinyungutu vya mama wa Kambo🤣🤣🤣
Sio lazima uchepuke, but hakikisha Una invest katika Jambo linalokupa raha na amani, ukianzia na kujipenda mwenyewe....tunza ngozi na nywele zako, jipende.....kisha tafuta project, mfano jiwekee akiba ununue viwanja vyako, Fanya biashara, watunze watoto, toka nao out...Yani uwe na kitu kinachokukeep busy.Hivi mnawezaje kuwa na wa akiba mbona mimi nimeshindwa?
Acha tu niumie nae ila siwezi hata!
Sasa Kama alimpenda mume akajisahau, minywele amefunga mibutu, mguu umejaa gaga huyo bebi wa Chap angempta wapi?Kujiua hapana asee angeleft tu akakamatia bebs mwingine chap
Poor lost soul, hapo kamkomoa nani ?View attachment 2809543
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Ruvuma (ACP) Marco G. Chilya akielezea kuhusu tukio hilo
Mwanamke mmoja aliyefahamika kwa jina la Marietha Bosco Sagana (32) Mkazi wa Kitongoji cha Matarawe, Kijiji cha Marungu Kata ya Tingi Tarafa ya Mpepo, Wilaya ya Nyasa amefariki Dunia wakati anapatiwa matibabu baada ya kwa kunywa sumu ya kuulia Wadudu chanzo kikiwa ni wivu wa Mapenzi.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Ruvuma, Kamishna Msaidizi wa Polisi (ACP) Marco G. Chilya amesema tukio hilo limetokea Novemba 8, 2023 Saa mbili usiku, ambapo mume wa marehemu alikuwa ameenda Shamba lakini alisahau simu yake nyumbani ndipo Marietha (marehemu) alivyoiona simu hiyo akaanza kuipekuwa.
Marietha alisoma meseji zote ikiwemo za WhatsApp na akafanikiwa kukuta jumbe za mume wake akiwasiliana na mwanamke Mwingine ndipo Marehemu alishindwa kuvumilia, hivyo akachukua Dawa ya Kuulia Wadudu ya Mahindi (ACTERIC) ambayo iliandaliwa kwa matumizi ya Shamba na kuinywa.
Baada ya kutenda tukio hilo majirani wanaoishi nae waligundua kitendo alichokifanya marehemu baada ya kuwaambia kuwa amekunywa dawa ya wadudu ambapo wakachukua uamuzi wa kumkimbiza Hospitali ya Mission Maguu ndipo akafariki Dunia wakati akipatiwa matibabu.
Kwakweli hii mambo ya kumpenda mtu hadi unajisahau kujipenda sio poaSasa Kama alimpenda mume akajisahau, minywele amefunga mibutu, mguu umejaa gaga huyo bebi wa Chap angempta wapi?
Unakuta mke anajisahau hadi anaona mume ndio maisha yake, kiasi kwamba mume akiamua kugawa kikojoleo nje anaona Kama kagawa pumzi yake🤣
Sio lazima uchepuke, but hakikisha Una invest katika Jambo linalokupa raha na amani, ukianzia na kujipenda mwenyewe....tunza ngozi na nywele zako, jipende.....kisha tafuta project, mfano jiwekee akiba ununue viwanja vyako, Fanya biashara, watunze watoto, toka nao out...Yani uwe na kitu kinachokukeep busy.
Usimpende mtoto wa mama mkwe ukajisahau nafsi yako....ndo hivo unasikia mtu kajiua.....
Ingawa bebi wa akiba ni reminder kuwa hakuna binadamu mkamilifu, Kama wewe umeteleza why not mwenza wako? .....unakausha mnaendelea mlipoishia🤣🤣🤣
Na huyo mtu ndio mimi, niombeeni jamani 🤣🤣🤣🤣Unakuta mke anajisahau hadi anaona mume ndio maisha yake, kiasi kwamba mume akiamua kugawa kikojoleo nje anaona Kama kagawa pumzi yake🤣