Mke ajiua kwa sumu ya Wadudu baada ya kupekua na kusoma SMS kwenye simu ya mumewe

Mke ajiua kwa sumu ya Wadudu baada ya kupekua na kusoma SMS kwenye simu ya mumewe

Mtu anayeona maisha yake hayana thamani wala umuhimu hawezi kosa sababu ya kufa.
Sure, marehemu alikuwa hajipendi, mtu anayejipenda na kujithamini hawezi kujiua kisa mtu mwingine kagawa kikojoleo chake.

Kwanza ukiwa unajipenda rohoni utajipenda mwilini, unakuwa hot cake, Ile ukiachwa asubuhi unaolewa jioni.....!
 
Mimi wangu alitaka kujiua yeye🤣🤣🤣 Manake nilitulia, nilikuwa namfanyia kila kitu kama kawaida....nampikia, namfulia, akiomba utamu nampa.....akapagawa🤣🤣🤣🤣
Ila hadi Leo hajiamini, anajua kuna tukio linamngoja🤣🤣🤣
Mimi hivyo huwa siwezi, nikikasirika ni tutagombana mpaka hasira ziishe halafu tunaendelea na maisha.
 
Sana Mkuu.
Mbaya zaidi hatujui alikutana na nini huko! Mpaka mtu anafikia hatua ya kujitoa uhai sio mchezo!
acha kabisa mpaka mtu mzima anaamua kujitundika sio kazi ndogo.

Wanaume wenzangu tuwe na utaratibu wa kufuta sms after chatting ili kuepukana na majanga haya
 
Alazwe pema peponi kamanda
Kamanda alikuwa hahudhurii vikao, vile wajumbe tulivyokuwa tunakazia suala la bebi wa akiba alikuwa anatuona wahuni🤣🤣🤣

Sasa Kati yetu wahuni na yeye aliyejiua nani atauona ufalme wa Mungu?🤣🤣🤣🤣 Na akumbuke watoto wanasubiriwa na vinyungutu vya mama wa Kambo🤣🤣🤣
 
Hivi mnawezaje kuwa na wa akiba mbona mimi nimeshindwa?

Acha tu niumie nae ila siwezi hata!
 
Kujiua hapana asee angeleft tu akakamatia bebs mwingine chap
 
Hivi mnawezaje kuwa na wa akiba mbona mimi nimeshindwa?

Acha tu niumie nae ila siwezi hata!
Sio lazima uchepuke, but hakikisha Una invest katika Jambo linalokupa raha na amani, ukianzia na kujipenda mwenyewe....tunza ngozi na nywele zako, jipende.....kisha tafuta project, mfano jiwekee akiba ununue viwanja vyako, Fanya biashara, watunze watoto, toka nao out...Yani uwe na kitu kinachokukeep busy.

Usimpende mtoto wa mama mkwe ukajisahau nafsi yako....ndo hivo unasikia mtu kajiua.....

Ingawa bebi wa akiba ni reminder kuwa hakuna binadamu mkamilifu, Kama wewe umeteleza why not mwenza wako? .....unakausha mnaendelea mlipoishia🤣🤣🤣
 
Kujiua hapana asee angeleft tu akakamatia bebs mwingine chap
Sasa Kama alimpenda mume akajisahau, minywele amefunga mibutu, mguu umejaa gaga huyo bebi wa Chap angempta wapi?

Unakuta mke anajisahau hadi anaona mume ndio maisha yake, kiasi kwamba mume akiamua kugawa kikojoleo nje anaona Kama kagawa pumzi yake🤣
 
Muhimu kuomba iwe salama lakini kijitia uchizi wa kumzibiti mumeo yanini?!

Ukiwa Na mtazamo chanya ukewenza wala hauna baya [emoji108]

Mwanaume badala ya kukuganda kila siku siku zingine anahudumiwa na mwenzio au wenzio hapo Kuna baya gani ilimradi iwe salama?

Siku anazokuwa zamu Kwa wengine wewe unaingia social media badala ya kuwa bize kumpikia na kumhudumia unyumba.
 
View attachment 2809543
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Ruvuma (ACP) Marco G. Chilya akielezea kuhusu tukio hilo

Mwanamke mmoja aliyefahamika kwa jina la Marietha Bosco Sagana (32) Mkazi wa Kitongoji cha Matarawe, Kijiji cha Marungu Kata ya Tingi Tarafa ya Mpepo, Wilaya ya Nyasa amefariki Dunia wakati anapatiwa matibabu baada ya kwa kunywa sumu ya kuulia Wadudu chanzo kikiwa ni wivu wa Mapenzi.

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Ruvuma, Kamishna Msaidizi wa Polisi (ACP) Marco G. Chilya amesema tukio hilo limetokea Novemba 8, 2023 Saa mbili usiku, ambapo mume wa marehemu alikuwa ameenda Shamba lakini alisahau simu yake nyumbani ndipo Marietha (marehemu) alivyoiona simu hiyo akaanza kuipekuwa.
View attachment 2809557
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Ruvuma (ACP) Marco G. Chilya
Marietha alisoma meseji zote ikiwemo za WhatsApp na akafanikiwa kukuta jumbe za mume wake akiwasiliana na mwanamke Mwingine ndipo Marehemu alishindwa kuvumilia, hivyo akachukua Dawa ya Kuulia Wadudu ya Mahindi (ACTERIC) ambayo iliandaliwa kwa matumizi ya Shamba na kuinywa.

Baada ya kutenda tukio hilo majirani wanaoishi nae waligundua kitendo alichokifanya marehemu baada ya kuwaambia kuwa amekunywa dawa ya wadudu ambapo wakachukua uamuzi wa kumkimbiza Hospitali ya Mission Maguu ndipo akafariki Dunia wakati akipatiwa matibabu.
Poor lost soul, hapo kamkomoa nani ?
 
Sasa Kama alimpenda mume akajisahau, minywele amefunga mibutu, mguu umejaa gaga huyo bebi wa Chap angempta wapi?

Unakuta mke anajisahau hadi anaona mume ndio maisha yake, kiasi kwamba mume akiamua kugawa kikojoleo nje anaona Kama kagawa pumzi yake🤣
Kwakweli hii mambo ya kumpenda mtu hadi unajisahau kujipenda sio poa
 
Sio lazima uchepuke, but hakikisha Una invest katika Jambo linalokupa raha na amani, ukianzia na kujipenda mwenyewe....tunza ngozi na nywele zako, jipende.....kisha tafuta project, mfano jiwekee akiba ununue viwanja vyako, Fanya biashara, watunze watoto, toka nao out...Yani uwe na kitu kinachokukeep busy.

Usimpende mtoto wa mama mkwe ukajisahau nafsi yako....ndo hivo unasikia mtu kajiua.....

Ingawa bebi wa akiba ni reminder kuwa hakuna binadamu mkamilifu, Kama wewe umeteleza why not mwenza wako? .....unakausha mnaendelea mlipoishia🤣🤣🤣

Lakini… kwanini tusipendane, tukatunzana, tukafanya project, tukalea watoto na kutoka out pamoja?

Kwanini tufanye maisha kuwa magumu kwa kufanya mambo pekepeke ilhali tuko wawili na tunapendana?

Mtoto wa mama mkwe nampenda sana nae ananipenda, kwa kutambua hilo hatuwezi kufanyiana mabaya ya kupelekea kuuana/kujiua.
Na tunamtanguliza Mungu atusimamie.

Unaweza kubadilika na kuibadili nyumba yako kuwa sehemu ya furaha. Wenza wa kando hawajawahi kuleta amani ndani ya nyumba.
 
Back
Top Bottom