Maleven
JF-Expert Member
- Sep 8, 2019
- 689
- 3,373
Ikiwa unataka kuachana na mtu kwa amani, mfano umemchoma, hujisikii kuwa nae, ukamwambia ki roho safi kua achukue anachotaka aondoke au aseme anataka nini halafu akagoma, unamfanya nini mtu kama huyu? Au unamuachia mji unanda kuanzisha mji wako? Kwanini mtu usikubali kuachika kama hupendwi