Mke akigoma kuachana, bila kutunia mahakama, namfukuzaje?

Mke akigoma kuachana, bila kutunia mahakama, namfukuzaje?

Unaondoka zako wewe unaenda kuanza maisha yako mapya yeye unamuacha hapo hapo ingawa sio kazi nyepesi hata!
 
Huyo mwanamke uliyemchoka lakini bado kakung'ang'ania pamoja na kumwambia laivu kuwa umemchoka usipojiangalia atakuja kukuua!
Mwanamke kama huyo hutakiwa kulala nyumbani au kula msosi wake

Wanaume tunakufa mapema sababu mambo mengine tunajitakia

Mda si mrefu atamuwahisha kwa sir God
 
Serikali sasa ione haja kupeleka mswada bungeni ili iwepo sheria ya ndoa za mkataba.
 
Mwanamke kama huyo hutakiwa kulala nyumbani au kula msosi wake

Wanaume tunakufa mapema sababu mambo mengine tunajitakia

Mda si mrefu atamuwahisha kwa sir God
Mwache ye anafikiri mchezo. Kama mimi ningehama kimya kimya. Mwanamke unamwambia laivu humtaki halafu anakung'ang'ania na bado unaishi naye. Hawajui wanawake nini?
 
Huwa natafakari sana mtu akifikia hatua kama hii tena pasi kuweka wazi sababu za msingi.

Duuh! Huyo mkeo kazi anayo na sio yeye peke yake yaani hata ukipata mpya bado kazi atakuwa nayo pia.
 
kuachika sio rahisi my dear
imagine: atatuambia nini akirudi mtaani? na wakati mtu akiolewa anajionaga Chosen one, anakua na kejeli kwa kila asieolewa ..
sasa umwache tena itakuaje [emoji23]
mtu ambae anamfanya mume kama Bullet proof haachiki kirahisi
Na haya yote yanafanya wanawake wateswe kwenye ndoa na bado kuendelea kuvumilia mtu anapiga ila haondoki
 
Mwachie mji sepa zako wapelekage moto wengine hapo hapo kwako.
 
Ikiwa unataka kuachana na mtu kwa amani, mfano umemchoma, hujisikii kuwa nae, ukamwambia ki roho safi kua achukue anachotaka aondoke au aseme anataka nini halafu akagoma, unamfanya nini mtu kama huyu? Au unamuachia mji unanda kuanzisha mji wako? Kwanini mtu usikubali kuachika kama hupendwi

Mwachie kihalali kabisa mji, watoto na Mali zote mlizo nazo.

Weka ahadi nae ya kumtunza yeye na watoto kwa mahitaji yote ya matibabu, Kula, kusoma, kuvaa, bills....etc.

Baada ya hapo Muage vizuri na kwa upendo beba kibegi chako nenda kaanze upya
 
  • Thanks
Reactions: JMF
Ikiwa unataka kuachana na mtu kwa amani, mfano umemchoma, hujisikii kuwa nae, ukamwambia ki roho safi kua achukue anachotaka aondoke au aseme anataka nini halafu akagoma, unamfanya nini mtu kama huyu? Au unamuachia mji unanda kuanzisha mji wako? Kwanini mtu usikubali kuachika kama hupendwi
Ndoa za uisilamu ni uzinzi hazina maana yoyote
 
Msiachane, ila mambo yake muachie mwenyewe...
 
Back
Top Bottom