Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 70,916
- 141,437
Sababu ni zile zile shaaHuwa natafakari sana mtu akifikia hatua kama hii tena pasi kuweka wazi sababu za msingi.
Land alienation, forced labour, low wages, lack of capital š
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sababu ni zile zile shaaHuwa natafakari sana mtu akifikia hatua kama hii tena pasi kuweka wazi sababu za msingi.
Hii nzuri maana huko aendako siku mambo yakiwa hovyo ataweze tena kurudi nyumbani kwa mke wake wa kwanzaMwachie kihalali kabisa mji, watoto na Mali zote mlizo nazo.
Weka ahadi nae ya kumtunza yeye na watoto kwa mahitaji yote ya matibabu, Kula, kusoma, kuvaa, bills....etc.
Baada ya hapo Muage vizuri na kwa upendo beba kibegi chako nenda kaanze upya
2023 imeanza kwa kasi sana, thread za kuachana tu. Muachie mji nenda kaanze upya mbele ya safariIkiwa unataka kuachana na mtu kwa amani, mfano umemchoma, hujisikii kuwa nae, ukamwambia ki roho safi kua achukue anachotaka aondoke au aseme anataka nini halafu akagoma, unamfanya nini mtu kama huyu? Au unamuachia mji unanda kuanzisha mji wako? Kwanini mtu usikubali kuachika kama hupendwi
unataka kumuacha mwanamke kienyeji!ondoka mwachie kila kitu kaanze upyaa!hapo utakuwa umemkomeshaIkiwa unataka kuachana na mtu kwa amani, mfano umemchoma, hujisikii kuwa nae, ukamwambia ki roho safi kua achukue anachotaka aondoke au aseme anataka nini halafu akagoma, unamfanya nini mtu kama huyu? Au unamuachia mji unanda kuanzisha mji wako? Kwanini mtu usikubali kuachika kama hupendwi
Bonge moja la ushauri, kama umemchoka ni vyema kuondoka kwa amani,kuliko kutoana damu,sepa kwa amaniMwachie kihalali kabisa mji, watoto na Mali zote mlizo nazo.
Weka ahadi nae ya kumtunza yeye na watoto kwa mahitaji yote ya matibabu, Kula, kusoma, kuvaa, bills....etc.
Baada ya hapo Muage vizuri na kwa upendo beba kibegi chako nenda kaanze upya
Umenikumbusha mke huko mwanza sinui shinyangaTafuta fundi akatoe bati juu ya nyumba.
Maana Kuna watu wengine wanajua kung'ang'ania hata umpige nusu ya kumuua haondoki.
Dah ila siyo fresh man kama hajawahi kukukosea kitu usimtimue
ndioNa haya yote yanafanya wanawake wateswe kwenye ndoa na bado kuendelea kuvumilia mtu anapiga ila haondoki
Naunga mkono hojaSerikali sasa ione haja kupeleka mswada bungeni ili iwepo sheria ya ndoa za mkataba.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wakristo waliona mbali kutoachana hovyo kuepusha wahuni kama nyie yaani unamchoka tu mtu baada ya kumchakaza na kuutumia uzuri wake.
Naona amesahau yule alimtia Handsome wake petrol [emoji23][emoji23]Huyo mwanamke uliyemchoka lakini bado kakung'ang'ania pamoja na kumwambia laivu kuwa umemchoka usipojiangalia atakuja kukuua!
Mark my words. Soon watu wataimba parapanda. We kumbe humjui mwanamke aliyependa wewe!
Hawezi lala na wanaume wengine nyumba niliojenga, kama anataka nimpe hela ajenge ndo ainjoi na wengine watakaokujaMwachie kihalali kabisa mji, watoto na Mali zote mlizo nazo.
Weka ahadi nae ya kumtunza yeye na watoto kwa mahitaji yote ya matibabu, Kula, kusoma, kuvaa, bills....etc.
Baada ya hapo Muage vizuri na kwa upendo beba kibegi chako nenda kaanze upya
Hapo unakuwa hujaacha kitu bro.Ikiwa unataka kuachana na mtu kwa amani, mfano umemchoma, hujisikii kuwa nae, ukamwambia ki roho safi kua achukue anachotaka aondoke au aseme anataka nini halafu akagoma, unamfanya nini mtu kama huyu? Au unamuachia mji unanda kuanzisha mji wako? Kwanini mtu usikubali kuachika kama hupendwi
Hawezi lala na wanaume wengine nyumba niliojenga, kama anataka nimpe hela ajenge ndo ainjoi na wengine watakaokuja