Mke akigoma kuachana, bila kutunia mahakama, namfukuzaje?

Maleven

JF-Expert Member
Joined
Sep 8, 2019
Posts
689
Reaction score
3,373
Ikiwa unataka kuachana na mtu kwa amani, mfano umemchoma, hujisikii kuwa nae, ukamwambia ki roho safi kua achukue anachotaka aondoke au aseme anataka nini halafu akagoma, unamfanya nini mtu kama huyu? Au unamuachia mji unanda kuanzisha mji wako? Kwanini mtu usikubali kuachika kama hupendwi
 

Mpaka mmefikia hapo ilikuwaje? Kuna kitu kwakwe umekosa?
 
Yuko sahihi. Wakati unamchumbia na kumuoa si ulikwenda kwao? Na sherehe mkafanya? Na umati ukashuhidia? Iweje leo unataka umuache kihunikihuni tu tena baada ya kuutumia uzuri wake na kumchoka? Fuata taratibu mkuu, hata ukimuachia mji bado ataendelea kuhesabika your wife
 
Ondoka wewe uliechoka kukaa hapo kama mjanja fuata sebene wako huko mbali
 
Wakristo waliona mbali kutoachana hovyo kuepusha wahuni kama nyie yaani unamchoka tu mtu baada ya kumchakaza na kuutumia uzuri wake.
How do you tell if am a Muslim? Do you think christians are heartless?
 
Tafuta fundi akatoe bati juu ya nyumba.
Maana Kuna watu wengine wanajua kung'ang'ania hata umpige nusu ya kumuua haondoki.

Dah ila siyo fresh man kama hajawahi kukukosea kitu usimtimue
 
Huyo mwanamke uliyemchoka lakini bado kakung'ang'ania pamoja na kumwambia laivu kuwa umemchoka usipojiangalia atakuja kukuua!

Mark my words. Soon watu wataimba parapanda. We kumbe humjui mwanamke aliyependa wewe!
 
Je wewe ungekubali kucheza wait hapendi!?...
 
Oa mke mwingine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…