Ndoa ikifikia kupigana ndo isonge mbele hiyo siyo ndoa,ni bora kuachana,namshukuru mungu 10+ years ya ndoa bila hata kofi kwa mke wangu,ikifikia huko ni bora nimwache
Kataa ndoa wanaupiga mwingi sana,,, wanapiga counter attack za kutisha mpaka wapinzani wamempigia magoti huyu refarii kutoka Mauritania ili awasaidie...
Hiyo kanda maalum ni hatari, watu wana hasira wasizoweza kuzidhibiti. Hii ni mbaya sana nikikumbuka nilishikiwa kisu mchana kweupe sijui ingekuwa ndio nimelala ingekuaje.