Mke anaweza kuchepuka hali yakuwa ananyonyesha mtoto wa mwaka?

Mtoto anahala kinyesi mithiri ya mlenda, anakunya ovyo bila breki, uso unapauka, nywele zinakuwa laini, mwili unakosa nguvu, hata kama alikuwa ameanza hatua ya kutembea anarudi nyuma kutambaa. Nazungumzia kitu nimekishuhudia na nimekiona
Kwahy ukiona hvy ujue mke au mume ametoka nje? 😂 Dah ww jamaa aisee kazi unayo 😂
 
Aahhh wee hiyo sio imani kubemenda watoto kupo, mtoto afya inachange kabisa anahara, anazubaa yaan anakuwa kama ana malnutrition, maana yale mauchafu ya wanaume wengine yanaingia mwilini na mtoto ananyonya, vile vile mwanaume akiwa anachepuka afu anarudi kushiriki tendo na mkewe mtoto anaharibika sio nzuri kuchanganya mishahawa na joto ya watu tofauti na baba na mama afu mtoto anyonye
 
Nadhani siku ukikua ukawa na familia utaelewa mengi, kwa ss Baki hivyo hivyo
Muwe na usiku mwema wakuu
 
Mwambie huyo dogo Mbaga Jr anashupaza shingo anajifanya anajua sana kuliko sisi kaka zake tuliomtangulia kuliona jua
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] njoo.dm
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…