Mke anaweza kuchepuka hali yakuwa ananyonyesha mtoto wa mwaka?

Nimeona si Mrs Besyige uyo au πŸ˜ΉπŸ˜ΉπŸ™ŒπŸΎ
Hakuna kitu kama hichoo.muulze dk yeyote atakuambia ..hakuna kubemenda wala kupata mimba mtoto.akiwa ananyonya eti umwachishe ananyonya uchafu ni HAIPOGO..nyonyesha had unaingia labor .ikiwezekana wanyony wote kama mama ana maziwa mengi..upo?
 
Upo sahihi kabisa.

Ila watu wamekariri story.

Wanasahau ishu za lishe zinasababisha malnutrition matokeo yake wanasingizia neno kubemenda.

Mtoto uchafu anaoweza kula ni wakati anazaliwa. Akipita pale salama basi kinachobaki ni kuiangalia lishe yake kwa karibu.
 
πŸ˜‚ dah ila Mungu anisamehe hii dhambi, wapeni wake zenu hela wakuu nikikumbuka hili tukio roho inaniuma sana japo nilikuwa sijui kama alikuwa ananyonyesha hadi niliponyonya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…