Mke atumia meseji za Mume wake na Mchepuko kuandaa keki ya Birthday

Fala sana huyu, hajui siku wakiamua kuvunja ndoa au mchepuka akapanga wamuuwe kabisa kama inavyotokea kwa wapumbavu wengine, basi ajue na huo mchepuko ipo siku nae ataitwa majina zaidi ya Stupid kwa mwingine

Once a cheater always a cheater, because cheating is a habit, not a mistake.
 
Sowez mdhalilisha mume wangu ivo, baada ya hapo wanaachana au wanashea io aibu?? yaan mbele ya kila mtu, NO

Kuna uhalisia na Kuna nyuma ya keyboard. Kama unamaanisha unachokisema, zingatia neno kumaanisha...endelea hivyo hivyo.

Usaliti unauma pande zote mbili na watu wanadhalilizhana sana.

Natamani ungeweza ukamuulize huyo jamaa aliyekua anaita wife wake stupid kama anaweza kusema hivyo mbele ya kadamnasi.
 
Fala sana huyu, hajui siku wakiamua kuvunja ndoa au mchepuka akapanga wamuuwe kabisa kama inavyotokea kwa wapumbavu wengine, basi ajue na huo mchepuko ipo siku nae ataitwa majina zaidi ya Stupid kwa mwingine

Once a cheater always a cheater, because cheating is a habit, not a mistake.

Hii kitu mtu hawezi kuelewa isipokua yameshawahi kumkuta au awe amejaliwa hekima ya hali ya juu.
 
Asante mkuu ila wengi ni vijana hawajui haya na wanaona kama kawaida tu
Ila ni mabaya sana

Kuna umri ukifika Kuna vitu unavipuuzia tu. Bahati mbaya sana Kuna wakati pamoja umri kusogeza kushinda hii vita inahitaji mikakati ya ziada.

Hakuna kuchepuka kwenye manufaa Wala faida zaidi ya furaha ya muda mfupi insyoweza kusababisha fedheha, Mikasa na madhara yasiyoweza kurekebishika kamwe.
 
Hakika Mkuu, umeongea point kubwa sana kwa waelewa tumeelewa
Kuna mengi ya kupuuza umri ukifika na mabaya mengi ni hulka ya mtu ila yanapita
 
Mwanaume limemshuka. Yani wanaume wanakuaga na vituko hapo tu. Kutuita majina kwa michepuko lakini hawahamii huko ka michepuko.
Hiyo huwa ni lugha ya kudanganyana na mchepuko na ndiyo maana hata wewe ikitokea upo kwa mchepuko wako wkt wa kunaniriuuu huwa unaongea maneno mengi tu ya kuharibu, next x but unajua ukitoka hapo what's next!.
 
Mwanaume limemshuka. Yani wanaume wanakuaga na vituko hapo tu. Kutuita majina kwa michepuko lakini hawahamii huko ka michepuko.
Kama wewe kwa mchepuko wangu nimekusema na kukukandia kweli 😀😃😄😁😆 huyo kwenye DP au Profile picha ni wewe au?
 
Yani wanaume wanakuaga na vituko hapo tu. Kutuita majina kwa michepuko lakini hawahamii huko ka michepuko.
Dah..
Hapo anapendwa wife, ila mchepuko anakuwa anapigwa fix tu ili aendelee kuifinyia kwa ndani kwa bidii zote
 
Kuna uhalisia na Kuna nyuma ya keyboard. Kama unamaanisha unachokisema, zingatia neno kumaanisha...endelea hivyo hivyo.

Usaliti unauma pande zote mbili na watu wanadhalilizhana sana.

Natamani ungeweza ukamuulize huyo jamaa aliyekua anaita wife wake stupid kama anaweza kusema hivyo mbele ya kadamnasi.
Niko ivo sio nyuma ya kibod..sasaa kwann umdhalilishe mmeo? Afu baada ya hapo mnageuka topic mtaan.
 
Back
Top Bottom