DeMostAdmired
JF-Expert Member
- Oct 7, 2017
- 1,579
- 3,798
Mwamba kazingua sanaUngekuwa wewe ungefanya nini kama mwanaume, chhkulia ni mbele za watu.
View attachment 2998735
View attachment 2998736
Tena mkeo unamuita stupid mbele kwa mchepuko.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwamba kazingua sanaUngekuwa wewe ungefanya nini kama mwanaume, chhkulia ni mbele za watu.
View attachment 2998735
View attachment 2998736
Tena mkeo unamuita stupid mbele kwa mchepuko.
Nadhani utaacha kiherehere kuanzia leoK
Kweli umevulugwa, ngoja nikuache
𝕌𝕜𝕚𝕥𝕒𝕜𝕒 𝕙𝕚𝕝𝕚 𝕛𝕒𝕞𝕓𝕠 𝕦𝕜𝕒𝕓𝕒𝕝𝕚 𝕜𝕦𝕠𝕝𝕖𝕨𝕒 𝕓𝕚𝕝 𝕞𝕒𝕙𝕒𝕣𝕚,𝕟𝕚𝕜𝕚𝕥𝕠𝕒 𝕞𝕒𝕙𝕒𝕣𝕚 𝕞𝕒𝕒𝕟𝕒 𝕪𝕒𝕜𝕖 𝕟𝕚𝕞𝕖𝕜𝕦𝕟𝕦𝕟𝕦𝕒,𝕟𝕚𝕟𝕒 𝕞𝕒𝕞𝕝𝕒𝕜𝕒 𝕛𝕦𝕦 𝕪𝕒𝕜𝕠 𝕨𝕖𝕨𝕖.Hata wanawake ni hivyo hivyo shughulikeni na yanayowahusu
Kabalianeni na uhalisia bila hivyo msingekuwa mnakufa kwa wivu wa kijinga𝕌𝕜𝕚𝕥𝕒𝕜𝕒 𝕙𝕚𝕝𝕚 𝕛𝕒𝕞𝕓𝕠 𝕦𝕜𝕒𝕓𝕒𝕝𝕚 𝕜𝕦𝕠𝕝𝕖𝕨𝕒 𝕓𝕚𝕝 𝕞𝕒𝕙𝕒𝕣𝕚,𝕟𝕚𝕜𝕚𝕥𝕠𝕒 𝕞𝕒𝕙𝕒𝕣𝕚 𝕞𝕒𝕒𝕟𝕒 𝕪𝕒𝕜𝕖 𝕟𝕚𝕞𝕖𝕜𝕦𝕟𝕦𝕟𝕦𝕒,𝕟𝕚𝕟𝕒 𝕞𝕒𝕞𝕝𝕒𝕜𝕒 𝕛𝕦𝕦 𝕪𝕒𝕜𝕠 𝕨𝕖𝕨𝕖.
Nani sasa awaombee
Kwa akili huwezi kuwa km 🐕 tutakuombeaNyie ambao sio dog...wapendwa, dada, shangazi, Mama na marafiki zetu ili tupunguze matukio. Tusiendelee kuwa dog.
Hasa kwa mtu uliyemuamini kwa asilimia kubwaUsaliti unaumiza sana.
Kwa akili huwezi kuwa km 🐕 tutakuombea
Hapo ndo utaharibu mkuu,labda upambane tu asijueLabda wanashida ila sio sahihi. Sijaoa ila hata nikichepuka na akajua nna mahusiano ni lazima ayaheshimu. Na akianza kuyaongelea kuyahusu atajiongelesha mwenyewe simjibu.
Akili zenu mnazijua wenyeweAmen. Haya mambo magumu sana kuyaelezea. Ila kama Kuna jambo limekupata, piga moyo Songa mbele. Kinachoumiza ni pale umewekeza hisia zako zote na kumwamini mtu Kisha akienda ndivyo sivyo, lazima mtuite dig wa mkia mbele.
Kila kitu kinahitaji discipline, dog mkia mbele tunahitaji discipline na maombi ya ziada. Kuna wakati tunafanya mambo hata mwenyewe ukikaa na kutafakari unajiona kabisa wewe ni simbilisi hata sio dog.
Akili zenu mnazijua wenyewe
Yani nimeshangaa mtu anamuita mke wake stupid, daaa.
Ila sijui labda wanashida ndani kwa ndani
Raha unajipa mwenyewe, usaliti unaumiza kwa jinsia zote tu, tena nyie unawatesa zaidi ila ndo mmekuwa vichwa ngumu sasa km hivyo mwanaume kaanza asubiri kifuatacho, atachagua moja kati ya yafuatayo, ajiue ama aue hapo ndo utajua nani ana nguvu kwenye mapenzi kati ya ke au meKikubwa Kwa Sasa tafuta furaha Yako, inner peace. Siku hizi Hilo jukumu dimwachii mtu mwingine asimamie furaha yangu hata kidogo. Yaani ni kitu dsi binafsishi Wala ku outsource hiyo huduma.
Nalinda furaha yangu wakati pia najitahidi nisivuruge ya mwingine.
😅😅🙌Mbona ni changamoto ndogo sana hiyo, je Ke angeshtukia Me wake ni Punga?
Ubinadamu ni kazi/The humanity is a work.
Sio kumdhalilisha hivyo wife wake, huyu anawakilisha wanaume wote akili zenu ni km mbwa dumeKwani unafikiri anamaanisha basi, hapo atatoa ahadi zote na jinsi ansvyopambana kumpigia chini wife ili mchepuko apande daraja kwenye ligi..lakini thubutuuuu.
Usemi wa Kapeace hii kitu inaitwa mkia mbele ukishindwa kuichunga na kuidhibiti inakuendezha na madhara yake ni dhahiri.
We ni jinsia gani? Tuanzie hapo kwanzaUngekuwa wewe ungefanya nini kama mwanaume, chhkulia ni mbele za watu.
View attachment 2998735
View attachment 2998736
Tena mkeo unamuita stupid mbele kwa mchepuko.
Siwezi kukubishia sana Kwa vile inahitaji nguvu na utashi wa Hali ya juu kuwa exceptional, Kwa Sasa acha tu nikubaliane na wewe.Sio kumdhalilisha hivyo wife wake, huyu anawakilisha wanaume wote akili zenu ni km mbwa dume
Huo mkia mbele ndio ulimtomba mama yako ukatokea wewe kwaio uheshimu huo mkia unaoudhihaki ambao hata baba yako anao.