Mke atumia meseji za Mume wake na Mchepuko kuandaa keki ya Birthday

Mke atumia meseji za Mume wake na Mchepuko kuandaa keki ya Birthday

Ungekuwa wewe ungefanya nini kama mwanaume, chhkulia ni mbele za watu.
View attachment 2998735

View attachment 2998736

Tena mkeo unamuita stupid mbele kwa mchepuko.
huu sio uanaume yaani unatumia mkeo ili umpate mchepuko mpka utoe ahadi za kumuacha mara umemchoka kwani mchepuko ukiupanga kwamba nina mke mbona mambo yanakua rahisi kabisa........ dunia ya sasa wanaume tumekua dhaifu sana kwa wanawake....

ona sasa dem kafuma sms hizo kamlipua mwanba na hapo lazima dem naye akaruke na jamaa wa nje ajipooze machungu
 
SIO kweli HIO ni Photoshop Adobe imefanya yake hakuna KEKI inaandikwa HIVYO au hilo ni COVER?
mkuu simama sehemu moja mara sio kweli mara photoshop mara hakuna keki inaandikwa marani cover unajua kweli unachokipinga au basi jf unabwabwaja tu...

keki sio ugali wa kijijini kwenu utaalamu upo mwingi
 
HIO ni Photoshop hakuna KEKI HAPO Kaza Fuvu
 
Back
Top Bottom