Black Sniper
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 32,406
- 55,148
Sowez mdhalilisha mume wangu ivo, baada ya hapo wanaachana au wanashea io aibu?? yaan mbele ya kila mtu, NO
Fala sana huyu, hajui siku wakiamua kuvunja ndoa au mchepuka akapanga wamuuwe kabisa kama inavyotokea kwa wapumbavu wengine, basi ajue na huo mchepuko ipo siku nae ataitwa majina zaidi ya Stupid kwa mwingine
Once a cheater always a cheater, because cheating is a habit, not a mistake.
Kama ameweza kuchepuka, kutukana mbona kitu kidogo sana kwa kumsaliti mke wake?Ungekuwa wewe ungefanya nini kama mwanaume, chhkulia ni mbele za watu.
View attachment 2998735
View attachment 2998736
Tena mkeo unamuita stupid mbele kwa mchepuko.
Asante mkuu ila wengi humu ni vijana hawajui haya na wanaona kama utani tuHii kitu mtu hawezi kuelewa isipokua yameshawahi kumkuta au awe amejaliwa hekima ya hali ya juu.
Asante mkuu ila wengi ni vijana hawajui haya na wanaona kama kawaida tu
Ila ni mabaya sana
Hakika Mkuu, umeongea point kubwa sana kwa waelewa tumeelewaKuna umri ukifika Kuna vitu unavipuuzia tu. Bahati mbaya sana Kuna wakati pamoja umri kusogeza kushinda hii vita inahitaji mikakati ya ziada.
Hakuna kuchepuka kwenye manufaa Wala faida zaidi ya furaha ya muda mfupi insyoweza kusababisha fedheha, Mikasa na madhara yasiyoweza kurekebishika kamwe.
Hiyo huwa ni lugha ya kudanganyana na mchepuko na ndiyo maana hata wewe ikitokea upo kwa mchepuko wako wkt wa kunaniriuuu huwa unaongea maneno mengi tu ya kuharibu, next x but unajua ukitoka hapo what's next!.Mwanaume limemshuka. Yani wanaume wanakuaga na vituko hapo tu. Kutuita majina kwa michepuko lakini hawahamii huko ka michepuko.
Kama wewe kwa mchepuko wangu nimekusema na kukukandia kweli πππππ huyo kwenye DP au Profile picha ni wewe au?Mwanaume limemshuka. Yani wanaume wanakuaga na vituko hapo tu. Kutuita majina kwa michepuko lakini hawahamii huko ka michepuko.
Dah..Yani wanaume wanakuaga na vituko hapo tu. Kutuita majina kwa michepuko lakini hawahamii huko ka michepuko.
Niko ivo sio nyuma ya kibod..sasaa kwann umdhalilishe mmeo? Afu baada ya hapo mnageuka topic mtaan.Kuna uhalisia na Kuna nyuma ya keyboard. Kama unamaanisha unachokisema, zingatia neno kumaanisha...endelea hivyo hivyo.
Usaliti unauma pande zote mbili na watu wanadhalilizhana sana.
Natamani ungeweza ukamuulize huyo jamaa aliyekua anaita wife wake stupid kama anaweza kusema hivyo mbele ya kadamnasi.
ππππΆπΆπΆHebu nitolee uchuro
Duuuuh umemaanisha km Mbwa vile au Simba?Bora ungewekwa nyuma walau mngekuwa na akili kiduchu
Au mbudhiiDuuuuh umemaanisha km Mbwa vile au Simba?
Unakuta tayari anayajua, na kama ni hvyo lazima aheshimu.Hapo ndo utaharibu mkuu,labda upambane tu asijue
Hapana siwezi mkuu na sijawahi kumchafua chaguo la moyo kwa sababu ya mchepuko.Kama Umeoa jiandae kuwa zaidi ya huyo jamaaaπ€£π€£π€£π€£