Mke kuuza Penzi ndani ya ndoa, Mke kunywa P2 ndani ya ndoa, wanaume wengi wanalamika hii tabia. Ndoa zimekuwaje?

Mke kuuza Penzi ndani ya ndoa, Mke kunywa P2 ndani ya ndoa, wanaume wengi wanalamika hii tabia. Ndoa zimekuwaje?

MKATA KIU

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2010
Posts
3,410
Reaction score
8,184
Habari wadau

Kuna kesi nyingi za wanandoa wanaume wanalalamika kwamba bila pesa ama kutimiza matakwa ya wake zao. Wanagomewa kupewa penzi.

Mtu ameoa ana mke ndani ila hana uhakika wa kupata penzi akiwa na hamu nalo. Hii inakuwaje?

Yaani ununue vyakula ndani ila usiwe na uhakika wa kula chakula mpaka umlipie mpishi fee mpya.

Hii ni sawa?
 
Hizo Ndio Ndoa Ndoano Sasa.

Tujiulize Mmekutana/ Kuokotana Wapi Maana Usirushe Maneno Upande Wa Pili Pekee, Je Lifestyle Ya Ndoa Yenu Ipo Vipi?
 
Ndoa za kishikaji ndo madhara yake. Yaaji mmeoana kama hamjaona
 
Back
Top Bottom