Kiranja Mkuu
JF-Expert Member
- Feb 18, 2010
- 4,219
- 4,608
TrueMume analazimisha mke akajifungue ukweni. Huko bibi ni mshirikina anazika kitovu cha mtoto na kukinenea ujinga. Ukikataa kwenda ndo unaitwa mjeuri, mtoto anafika miaka 40 hana maisha kumbe chanzo ubishi wa kijinga.
Ni kweli maana ni sehemu tu ambazo wamisionari walikaa lakini unakuta vinahudumia hadi vijiji vya jirani mfano peramiho songea kuna watu wanatoka hospitali ya mkoa kwenda kupata huduma kule maana kunafikika kirahisi tuHizo missionary hospitals ziko kwenye vijiji vichache sana
TrueNi kweli maana ni sehemu tu ambazo wimisionari walikaa lakini unakuta vinahudumia hadi vijayi vya jirani mfano peramiho songea kuna watu wanatoka hospitali ya mkoa kwenda kupata huduma kule maana kunafikika kirahisi tu
Hii ni kiboko yaoKama ni ishu ya kitovu kuogopa kuchukuliwa Ili kiunganishwe kwenye madhabau za wapumbavu. Baada kukatika chukua kitovu changanya na mkaa au kuni kisha kichome moto kiwe majivu kabisa baada ya majivu changanya majivu hayo na maji kisha yamwage maji kwa kuyatawanya hapo unakuwa umekivurugavuruga kabisa hao wapumbavu awapati chochote hata wawe na utaalamu gani hawawezi. Usikitupe wala kukizika hata ukiwa pekee yako sirini,haya majitu ya hovyo kabisa yanaouwezo kupitia majini na mizimu yenu yatawaonyesha wapi kilipo Ili yakitumie kufunga maisha ya mtoto.
USITUPE, USIZIKE CHOMA MOTO UMEFUNGA MILELE
Si umlete mtoa hizo huduma mjiniSio kweli,
Lengo kumpeleka kijijini kua karibu na wazazi wazoefu wa mambo ya uzazi
Mjini Hapa harakati nyng,
Uanze kunambia niamke nimkande mjamzito, huu Ni mtihani Sana mzee mwenzangu.
Mbaya toilet dawa ni kuchoma,huko toilet si ndio makazi yaoIlikua zamani sahz vitovu tuna discard toilet tu.
Ila akuna uchawi mbaya kama mtu akurogee kitovu😃😃 utaimba haleluya amina
Mzee una itune tu akili yakoKwanza MKE akishajifu gua akaenda kwao mkoani/kijijini likizo ya uzazi mpk apone inatoa fursa ya wewe kuendelea kuchepuka bila changamoto Sana.
Maana tunajua jela ya kimapenzi tunayopitia wanaume MKE akishajifungua
Kuna almost miez 2 Hadi 6 ya kukosa unyumba kutegemea na aina ya alivojifungua.
😂😂😂🙊Ndugu yangu sijaoa mke ila nimeoa speaker mwanamke anaongea ana mdomo radio ikasome
Kwani hivi mashetani yapo?Mjini ndiko kwenye huduma bora za afya halafu unataka mkeo akajifungulie kijijini ambako huko huduma za afya ni duni. Miundombinu sio rafiki, maji safi na salama hakuna.
Unampeleka huko ili mtoto akizaliwa kitovu chake kichukuliwe na kuungamanishwa na mashetani. Huu ni ushetani daraja la kwanza.
Mambo mengine hayana maana, mkeo akipata changamoto anakimbizwa tena mjini. Hebu tubadilikeni.
Mi nilisha mignore huyo,...mdomoni hayuko poaNi kweli sina akili, kutokuwa na akili kwangu kwani kunakupunguzia chochote? Au kunafyonza akili zako?
Hakuna dawa ya kumuweka mzazi vizuri zaidi ya maji ya moto,chakula kizuri na usafiUnajua kichanga huwa kinachangamoto nyingi sana,hvyo ni vizuri kikawa karibu na watu wazoefu kwa zile siku za mwanzo,pia mzazi anahitaji care ambayo pia inatakiwa kutolewa na watu wazoefu kama mama mkwe
Na hii kazi ya kucare kichanga na mzazi,mama mkwe ataifanya vizuri zaidi akiwa kwenye mazingira yake ya huko kijijini maana kuna dawa za kumuweka vizuri mzazi ambazo zitamsaidia haraka tofauti na za hospitali zilizo expire kama zile za tabora,pia kuna dawa za michango kwa kichanga
Usikatae asili yako p i m b i wewe
Hapo kwenye dawa nilitaka kutania tu,usichukulie seriousHakuna dawa ya kumuweka mzazi vizuri zaidi ya maji ya moto,chakula kizuri na usafi
Tuliozaa tunajua kama uliambiwa hivyo wamekudanganya!
Nilitaka nishangae aiseeHapo kwenye dawa nilitaka kutania tu,usichukulie serious
Kwanini mamamkwe asije mjini akawacare mama na mtoto huku?? Kwanza mara nyingi kumpeleka mama aliyejifungua ugenini unamuongezea na msongo wa mawazo maana anakuwa na upweke zaidi ya kichanga chake tuu anazungukwa na ndugu asiowazoea.Unajua kichanga huwa kinachangamoto nyingi sana,hvyo ni vizuri kikawa karibu na watu wazoefu kwa zile siku za mwanzo,pia mzazi anahitaji care ambayo pia inatakiwa kutolewa na watu wazoefu kama mama mkwe
Na hii kazi ya kucare kichanga na mzazi,mama mkwe ataifanya vizuri zaidi akiwa kwenye mazingira yake ya huko kijijini maana kuna dawa za kumuweka vizuri mzazi ambazo zitamsaidia haraka tofauti na za hospitali zilizo expire kama zile za tabora,pia kuna dawa za michango kwa kichanga
Usikatae asili yako p i m b i wewe
Uchawi wa kiwango Cha PhDMjini ndiko kwenye huduma bora za afya halafu unataka mkeo akajifungulie kijijini ambako huko huduma za afya ni duni. Miundombinu sio rafiki, maji safi na salama hakuna.
Unampeleka huko ili mtoto akizaliwa kitovu chake kichukuliwe na kuungamanishwa na mashetani. Huu ni ushetani daraja la kwanza.
Mambo mengine hayana maana, mkeo akipata changamoto anakimbizwa tena mjini. Hebu tubadilikeni.
HakikaUchawi wa kiwango Cha PhD
Eti huko chini wanaweka madawa ya kienyeji uwe mnatoHakuna dawa ya kumuweka mzazi vizuri zaidi ya maji ya moto,chakula kizuri na usafi
Tuliozaa tunajua kama uliambiwa hivyo wamekudanganya!