Mrs Thabo Bester
JF-Expert Member
- Oct 2, 2020
- 3,145
- 7,921
KabisaUnaambiwa mwan amke anaweza ishi na mwanamka hata miaka yote na hampendi mume na anaishi tu.
Sent from my itel W5002 using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
KabisaUnaambiwa mwan amke anaweza ishi na mwanamka hata miaka yote na hampendi mume na anaishi tu.
Sent from my itel W5002 using JamiiForums mobile app
Haya ndiyo yanayotusumbua kutembea na pampers huku mitaani!Usipooa utaolewa
Kwakweli havitakuja kuisha😂😂😂🙌Ali-fake maisha ili amfurahishe "mume" anayeishi naye.Lakini,kumbe anaye mume wake anayemjua moyoni.Vibweka haviishi duniani.
Kwakweli naamini,, maana sio kwa kufake huko miaka 10😂😂Hakuna kiumbe na siri kama wanawake
Kwakweli nimeamini inawezekana khaa😃😃🤔Unaambiwa mwan amke anaweza ishi na mwanamka hata miaka yote na hampendi mume na anaishi tu.
Sent from my itel W5002 using JamiiForums mobile app
Hatari sana...Kwakweli naamini,, maana sio kwa kufake huko miaka 10😂😂
Alificha maradhi kifo ndo kinakuja kumuumbua kama hivyo, maskini mdada wa watu 😌🤦♀️🤦♀️Hatari sana...
Na ndiyo ukweliIla maisha haya bhana,,, ina maana miaka kumi yote hiyo alikua hafurahii😃😃😂
Kwakweli wanawake sisi ni viumbe vya ajabu 😃🙌Na ndiyo ukweli
Gauni tamu🤣🤣🤣 unasema nitavumilia....kumbe☹️Kwakweli wanawake sisi ni viumbe vya ajabu 😃🙌
WeeeUzinzi tu wala sio ugonjwa huo kama mimi ndio mwamba analambwa talaka aende akahudumiwe na huyo x wake.
Na kweli 🙃🙃Gauni tamu🤣🤣🤣 unasema nitavumilia....kumbe☹️
🤭HatariiNa kweli 🙃🙃
Mwenyeweeee💃(jokes)manina
Aisee tusiojua kutomber tutatombewa sana wake zetu. Mtu afungue shule ya kugegeda maan wenginw inabidi tufundishweAisee itakushangaza ila jua tu kwamba hapa duniani kuna mambo mengi sana ya kushangaza na kukuacha mdomo wazi hili likiwa mojawapo la huko Marekani ambapo unaambiwa mwanamke mmoja amemuomba mumewe amletee ex wake angalau afurahie tena mapenzi kwa mara ya mwisho kabla hajafariki.
Mwanamke huyo amegundulika na ugonjwa wa kansa na madaktari wamemwambia kwamba amebaki na miezi 9 ya kuishi hapa duniani.
Katika hali isiyokuwa ya kawaida mwanamke huyo ambaye ameishi kwenye ndoa kwa muda wa miaka 10 amemwambia mumewe kwamba alikuwa anafurahia tendo la ndoa kutoka kwa ex wake tu na tangu waoane hajawahi kabisa kufurahia tendo hilo. Mwanaume huyo ameomba ushauri kwa watu mbalimbali kwenye mtandao wa Reddit kama atimize matakwa ya mkewe ama aachane nayo.
Vipi wewe unamshauri nini huyu mwanaume mdau?
#MsasaKisasaZaidi
View attachment 2718053
Hili nalo neno.Pesa zinatuponza,lakini kiuhalisia 66% ya wanawake ndani ya ndoa wanabakwa na waume zao.Hajampenda mwanaume ila kaingia kwenye ndoa Ili avae shera, kachoka kukaa home.....anaogopa Wana -adamu wanaoongea