Mke mgonjwa amuomba mumewe amletee EX wake afurahie penzi kwa mara ya mwisho kabla ya kufa

Mke mgonjwa amuomba mumewe amletee EX wake afurahie penzi kwa mara ya mwisho kabla ya kufa

Huyo mume amjali mgonjwa.Wagonjwa huwa wana madai ya ajabuajabu sana.Mume asikubali kutoingia mbinguni kwa kutaa ''ombi valuvalu" la mgonjwa Psychosis effections!
Yani mume aingie mbinguni kwa kusapoti zinaa? amletee mkewe x wake ili wazini? ni dini gani hiyo au ni Mungu gani huyo ambaye hatotaka huyo mume kuingia mbinguni kisa amekataa kusapoti hiyo dhambi ya zinaa?
 
Usiwe unasoma kwa pupa na kuanza kuskuti sana.Mara nyingine chukulia kama changamsha genge tu ili usipate vidonda vya tumbo.Huwa napenda kuandika kwa ku-relax!
 
Aisee itakushangaza ila jua tu kwamba hapa duniani kuna mambo mengi sana ya kushangaza na kukuacha mdomo wazi hili likiwa mojawapo la huko Marekani ambapo unaambiwa mwanamke mmoja amemuomba mumewe amletee ex wake angalau afurahie tena mapenzi kwa mara ya mwisho kabla hajafariki.

Mwanamke huyo amegundulika na ugonjwa wa kansa na madaktari wamemwambia kwamba amebaki na miezi 9 ya kuishi hapa duniani.

Katika hali isiyokuwa ya kawaida mwanamke huyo ambaye ameishi kwenye ndoa kwa muda wa miaka 10 amemwambia mumewe kwamba alikuwa anafurahia tendo la ndoa kutoka kwa ex wake tu na tangu waoane hajawahi kabisa kufurahia tendo hilo. Mwanaume huyo ameomba ushauri kwa watu mbalimbali kwenye mtandao wa Reddit kama atimize matakwa ya mkewe ama aachane nayo.

Vipi wewe unamshauri nini huyu mwanaume mdau?

#MsasaKisasaZaidi

View attachment 2718053
Apige risasi akafie mbalii
 
Back
Top Bottom