Mke mgonjwa amuomba mumewe amletee EX wake afurahie penzi kwa mara ya mwisho kabla ya kufa

Mke mgonjwa amuomba mumewe amletee EX wake afurahie penzi kwa mara ya mwisho kabla ya kufa

Aisee itakushangaza ila jua tu kwamba hapa duniani kuna mambo mengi sana ya kushangaza na kukuacha mdomo wazi hili likiwa mojawapo la huko Marekani ambapo unaambiwa mwanamke mmoja amemuomba mumewe amletee ex wake angalau afurahie tena mapenzi kwa mara ya mwisho kabla hajafariki.

Mwanamke huyo amegundulika na ugonjwa wa kansa na madaktari wamemwambia kwamba amebaki na miezi 9 ya kuishi hapa duniani.

Katika hali isiyokuwa ya kawaida mwanamke huyo ambaye ameishi kwenye ndoa kwa muda wa miaka 10 amemwambia mumewe kwamba alikuwa anafurahia tendo la ndoa kutoka kwa ex wake tu na tangu waoane hajawahi kabisa kufurahia tendo hilo. Mwanaume huyo ameomba ushauri kwa watu mbalimbali kwenye mtandao wa Reddit kama atimize matakwa ya mkewe ama aachane nayo.

Vipi wewe unamshauri nini huyu mwanaume mdau?

#MsasaKisasaZaidi

View attachment 2718053
Haina shida. Hata mimi nina girlfriend wangu ambaye tuliachana kama 6 years ago. Huyu mdada hadi anafika miaka 29 alikuwa hajui mwanamke kukojoa ni nini hadi alipokutana na mimi. Tumeachana ila akitaka kukojoa lazima anitafute. Hakuna zaidi ya hicho
 
Dah!Ila mnatufanya tuishi maisha ya "henzapu/hands-up" sana.Tutafika tunatiririkwa na machozi ya uchungu huku tukijidai ni mchanga tu ndiyo uliingia machoni.🤔
Tunawaashangaaga humu mnavyosemagaa my wife this my wife that...mnajimwambafai wenyewe...Nyie hamtujui sisi nawaambiaa Mungu alituumba kwa namna ya pekee kidogo..."big pretenders"..sisi tunawachoraga tu humu
 
Tunawaashangaaga humu mnavyosemagaa my wife this my wife that...mnajimwambafai wenyewe...Nyie hamtujui sisi nawaambiaa Mungu alituumba kwa namna ya pekee kidogo..."big pretenders"..sisi tunawachoraga tu humu
Usiwape code zote watatuogopa..!laiti siku wanawake wangeamua kufunguka ya ndani ndani tungebaki tunashika tama!
 
Mke anataka afeel utamu wa penzi mara ya mwisho kabla hajafa,wala sio sababu ya mmewe akalale na mke wa x wa mkewe.

Mgonjwa aheshimiwe.
Si amuelekeze anavyotaka kufukuliwa mtaro jamaa amshughulikie tu maana vipaji havifanani kuna waliozaliwa navyo na waliojifunza amfundishe kula na mikono alieokuwa nayo
 
Back
Top Bottom