Mke mgonjwa amuomba mumewe amletee EX wake afurahie penzi kwa mara ya mwisho kabla ya kufa

Mke mgonjwa amuomba mumewe amletee EX wake afurahie penzi kwa mara ya mwisho kabla ya kufa

Tatizo Kubwa la Wanawake ni kuwa mkiwa kwenye mahusiano wanadhani baada ya NDOA maisha yatabaki kuwa vile vile uku home wakidemand vitu kibao
 
Aisee itakushangaza ila jua tu kwamba hapa duniani kuna mambo mengi sana ya kushangaza na kukuacha mdomo wazi hili likiwa mojawapo la huko Marekani ambapo unaambiwa mwanamke mmoja amemuomba mumewe amletee ex wake angalau afurahie tena mapenzi kwa mara ya mwisho kabla hajafariki.

Mwanamke huyo amegundulika na ugonjwa wa kansa na madaktari wamemwambia kwamba amebaki na miezi 9 ya kuishi hapa duniani.

Katika hali isiyokuwa ya kawaida mwanamke huyo ambaye ameishi kwenye ndoa kwa muda wa miaka 10 amemwambia mumewe kwamba alikuwa anafurahia tendo la ndoa kutoka kwa ex wake tu na tangu waoane hajawahi kabisa kufurahia tendo hilo. Mwanaume huyo ameomba ushauri kwa watu mbalimbali kwenye mtandao wa Reddit kama atimize matakwa ya mkewe ama aachane nayo.

Vipi wewe unamshauri nini huyu mwanaume mdau?

#MsasaKisasaZaidi

View attachment 2718053
Ampe talaka yake, Ili arudi Kwa ex wake kabla hajafa
 
Tunawaashangaaga humu mnavyosemagaa my wife this my wife that...mnajimwambafai wenyewe...Nyie hamtujui sisi nawaambiaa Mungu alituumba kwa namna ya pekee kidogo..."big pretenders"..sisi tunawachoraga tu humu
Subhanallah!Mswalieni mtume (SAW)🙏
 
Pesa zinatuponza,lakini kiuhalisia 66% ya wanawake ndani ya ndoa wanabakwa na waume zao.Hajampenda mwanaume ila kaingia kwenye ndoa Ili avae shera, kachoka kukaa home.....anaogopa Wana -adamu wanaoongea
Mwanamke hajaumbiwa kupenda,Mwanamke kaumbiwa kuheshimu.acheni hadithi zenu za sungura na fisi
 
Pesa zinatuponza,lakini kiuhalisia 66% ya wanawake ndani ya ndoa wanabakwa na waume zao.Hajampenda mwanaume ila kaingia kwenye ndoa Ili avae shera, kachoka kukaa home.....anaogopa Wana -adamu wanaoongea
Duuh! Asilimia 66?

Apia Mumy. 😂😂
 
Ukiwaza kila kitu mungu itachanganyikiwa,mimi nashauri mgonjwa apewe hitaji lake la mwisho.
Uwe unafuatilia comment kabla ya kukurupuka,mimi nimequote comment iliyohusu Mungu,

But still huwezi kutaka kila mtu aamini unachokiamini wewe.
 
Kuona jambo ni la kipumbavu au linalokonga moyo wako ni jambo la kutulia na kujiuliza:Je,umekula vizuri kwa viwango na ukashiba au unasumbuliwa na njaa kichwani.Ni kukubali kutokukubali au uache abebe godoro na aende zake.Rahisi sana.
Unapoambiwa umeandika upumbavu ni jambo la kujitafakari,je upstairs upo vizuri? Coz mpumbavu hua hajitambui bali hutambuliwa na wenye utimamu.
 
Wanaowapenda hawawaoi..

Wanaolewa na wasiowapenda..

Wanawake wanasiri...
Sioni tatzo mwanamke akichagua wakumpa utamu wake nan hata kama atakua mke wangu akichagua wakumpa mali zake mimi sioni tatzo.
 
Mgonjwa wa kidigitali [emoji1787][emoji1787]

Anataka mechi...

Hivi anaumwa kweli au anananiliu...
Yaan huyo mgojwa ninge uwa tu aje akazwe na ex wake mbele yangu ningemalizia afe tu😅😅😅
 
Back
Top Bottom