Mke mgonjwa amuomba mumewe amletee EX wake afurahie penzi kwa mara ya mwisho kabla ya kufa

Ombi la marehemu mtarajiwa
Nimuhimu kuliko kingine chochote kwasasa na asipofanya hivyo itamgharimu maishani mwake moto

Yeye akamwite x wake ,basi atimize hiyo furaha ya mwezake

Wosia huo ,athari zake kubwa usipotimiza
Kivipi?

Fafanua mkuu...
 
Pesa zinatuponza,lakini kiuhalisia 66% ya wanawake ndani ya ndoa wanabakwa na waume zao.Hajampenda mwanaume ila kaingia kwenye ndoa Ili avae shera, kachoka kukaa home.....anaogopa Wana -adamu wanaoongea
80% mnabakwa, likowazi ndomana bodaboda wakiwaotea hamchomoki Kwa urahisi

Hakuna jambozuri Kwa MwAnaMkE uume ukiingizwa na lango linauterezi wakutosha ,nasio ukavu
 
Ningemletea na room ningewaachia, ni maisha tu na mwanadamu unapoambiwa umebakiza kipindi iki kabla ya umauti wako ni lazima kidogo akili ivurugane na ubongo. NINGEMLETEA.
Paaap ex anatafuna miezi 9 halafu anapona kansa
 
Wanaume leo humu wanavyosonya sasa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ishu ndogo sana hiyo uyo si anakufa tu baada ya miez 9. Itia uyo ex wake aje then na ww itia manzi yako ije then uone vile iyo ugonjwa ako nayo kama ni serious aki nakwambia miez 9 mingi sana.

Sent from my TECNO KI7 using JamiiForums mobile app
 
....unamkubalia kisha unamletea X wake kama alivyoomba ili ajue kuwa huna muda naye na faida yake ni wakati wa kuliwa tu... Baada ya hapo inakuwa permision granted nitakula mibususu nje nje hadi afe kabla ya miezi tisa(9). Hiyo ni dharau ya 9G.!
 
80% mnabakwa, likowazi ndomana bodaboda wakiwaotea hamchomoki Kwa urahisi

Hakuna jambozuri Kwa MwAnaMkE uume ukiingizwa na lango linauterezi wakutosha ,nasio ukavu
🀣🀣🀣🎀
 
Maruhusu amalize usakiti wake maana Mungu ameshatoa adhabu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…