Mke na Mme wanakaa mikoa miwili tofauti, Mke asafiri kwenda kwa mmewe na kumkuta na mwanamke mwingine

Dawa yake huyo kwenda nae sawa tu..mana hajui neno msamaha ..
 
Mwanaume mwenye akili pale ambapo amemkosea mkewe na haswa kwenye suala la usaliti, anapaswa kumkana na kumpotezea mchepuko na kutumia ujuzi, uelewa na ufala wake wote ili kumuweka sawa wife, sio kuwa mbabe tena, ukifumwa au kushtukiwa na kama kweli huwa tunakua wapole kwa wake zetu na kuwatii ili tusiharibu ndoa/familia
 
Mwanaume kuomba msamaha ni kosa kubwa sana. Asisubutu kufanya huo ujinga, asikilize wimbo wa Shaggy "It wasn't me" mwanaume halisi hatakisi kuomba samahani hata kama ukutwe juubya kiuno
 
Angeomba talaka endapo moja, angemkuta mshkaji ndio analiwa, hii Haina mjadala maana mnakua wote hamna tofauti, lakini kama kkakuta jamaa anagonga ngozi aagh hio poa sana! Unajua uko kwa kidume!
 
Huyu mwanaume nae, kuuleta mchepuko kwenye matrimonial bed ni kitu kibaya sana. Angekwenda kugegeda huko huko, take away zinaliwa hukohuko nyumbani ukirudi ni kuoga na kulala.

Mnalalamika mikosi inawaandama laana nyingine ni za kujitafutia wenyewe.
Wewe unaufahamu wa family Law?
 
😬😬unatakiwa ukatae mpaka mwisho.?

Yo
(Open up, man) What do you want, man?
(My girl just caught me) You let her catch you?
(I don't know how I let this happen) With who?
(The girl next door, you know) Man
(I don't know what to do) Say it wasn't you
(Alright)


PS:
Picture this, we were both butt-naked Banging on the bathroom floor.
 
Awe mvumilivu kama Lilian mbowe anavyomvumilia Joyce Mkuya
 
Mfuate kwake na kama ni mchepuko wa kudumu top ya rent yake. Kama huwezi fharama nunua sabuni ya dove.
Mwanaume mwenye akili hawezi kukubali kulala kwa demu, labda awe anamjua sana na zaidi ya sana
 
Kwa ufupi jamaa kamchoka mkewe. Angekua anampenda angeomba msamaha haraka sana
Kwenye vikao huwa wanadanganyana mwanaume kuomba msamaha ni uboya eti, wanatakiwa kujimwambafai.....
Mi kwakweli nikiombwa msamaha nalainika nalegea yanaisha moyo unakua mweupe, ili mtu akijimwambafai teh kaharibu....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…