Mjomba wote wewe na mkeo mpo humu Jukwaani? Halafu anasoma hii threadKwakuwa naye anasoma hizi comments naamini atalifanyia kazi
Wewe hapo ndio una Makosa kwa mtazamo wangu. Makosa kivipi?
1. Kuoa (Sijui umri wako ila under 40 mapema sana)
2. Kuoa tayari mtu anamtoto hafu BABA YAKE yupo hai na mzima (inabidi awe alifariki au yupo Milembe)
3. Kumchunguza mke wako.
4. Kutumia condom kwa mkeo iyo dharau aisee. Sijaona lakini mh iyo dharau kubwa.
5..
Nae ajitetee aseme upande wa pili tusikie..Kwanza mTAG wife tumuulize kama ni kweli au unamsingizia,
maana wanaume wa siku hizi mnasingizia sana wenzenu.
Anita mbona una uchungu sana...🤣🤣Wivu wa kifala tuu Hata ukioa mwanamke asiye na mtoto haimaanishi hautagongewa, so huu wako ni wivu wa kifala tu hakuna lingine
Mimi Sio wale wale chukua time hukoWalewale unaowajua wewe,usiulize swali ambalo jibu lake unalo.
Duh!...kazi kweli kweli...hivi ni rahisi kwa wanandoa kufika hatua hii ?Nikamwambia hivi, "Sitolala na wewe bila kutumia condom usije ukaniletea maradhi, hawa watoto wawili wanatosha ukitaka mtoto kazae na huyohuyo mzazi mwenzako, na mimi nikitaka nitamfuta wa kuzaa naye".
Nyie Mnaosema usioe single mama mnachosha, mbona hatusemi usiolewe na single faza huu ni unyanyasajiAnita mbona una uchungu sana...🤣🤣
Kwani na wewe ni single mother?Nyie Mnaosema usioe single mama mnachosha, mbona hatusemi usiolewe na single faza huu ni unyanyasaji
Haki sawa siyo!!!Nyie Mnaosema usioe single mama mnachosha, mbona hatusemi usiolewe na single faza huu ni unyanyasaji
Taratibu jamaa ,laana io vipiMiaka nenda rudi humu watu wamekuwa wakipiga kelele kuhusu haya mambo ya kuanza match mpinzani akiongoza (mimi nimeijua Jamiiforums 2009 toka kipindi hiko wapo watu wakisisitiza mwanaume timamu kutokuowa single mama mara ya kwanza kujiunga 2013 na mimi nikawa nakazia ushauri huu huu kwamba kuowa hii type ni laana) ila bado watu tunashindwa kwenda na beat!!!
Pole chief,from now on kwa sababu umeshastuka pambana tu kujiimarisha namna bora ya kutunza wanao kabla hajawajaza nao sumu mbaya wakakuona kama mdoli yeye mwache apambane na mwanae kwenye hizo route za kufata matumizi kwa mzazi mwenzake ikitokea amechakatwa (mimi ni mwanaume lazima itatokea) asiwe chini ya himaya yako tena.
Singo mama ni laana,ogopa sana huo upupu!
Nakubaliana na wewe asilimia 100% Umefanya maamuzi kwa hasira lkn si kwa akilu yako timamu kinachokusumbua ni WIVU na UKOLONI je angekuwa mtoto wako na uchumi umeyumba ungemuacha sio wako ndio maana umemuachaWewe ndio mwenye matatizo, muache huyo mama endelea na maisha Yako.
Kama huwezi kuishi na mwanamke mwenye mtoto ni heri umuache! Ulijua ana mtoto tangu mwanzo, uchumi umebadilika unasema huwezi kumlea mtoto wake. Je ingekuwa ni wanao wote wawili na uchumi umebadilika ungefanyaje?
Huwezi kujisimamia kimaamuzi, umelazimisha mwenyewe waanze kuwasiliana.
Mwisho mwanamke mwenye mtoto hata umpe Kila kitu ila mtoto wake hapati huduma, hawezi kuridhika kuona yeye anaishi vizuri mtoto wake haishi vizuri au hajui kesho ya mwanae. Labda kama mwanamke asiyejitambua.
So wanaume kama hamuwezi kuwatunza wanawake wenye watoto ni heri muwaache tu, msiwaongeze mizigo ya watoto wengine Kisha muanze kuwageuka.
Mkuu nani kakwambia nimemuacha?Nakubaliana na wewe asilimia 100% Umefanya maamuzi kwa hasira lkn si kwa akilu yako timamu kinachokusumbua ni WIVU na UKOLONI je angekuwa mtoto wako na uchumi umeyumba ungemuacha sio wako ndio maana umemuacha
Wanaouana walivuka hapoDuh!...kazi kweli kweli...hivi ni rahisi kwa wanandoa kufika hatua hii ?
Carleen Beesmom Heaven Sent
Kama aliambiwa hivyo na wifi yake,alitakiwa arudi kwangu tushauriane cha kufanya , kwasababu nilishamwambia staki uwasiliane na mzazi mwenzako Moja Kwa moja nenda Kwa wifi yako, kufanya tofauti na makubaliano yetu ni usaliti.Y
Yeye ndo alimruhusu wamtafute,kuna uwezekano,wifi yake alimwambia aongee nae tu moja kwa moja