Mke na mume tumeleta mashtaka kwenu

Umri....................
Kabila...............
Experience na wanawake....................
Shabiki wa timu gani................
Je unabeti...................
Elimu.................

[emoji23] [emoji23]
Umri 76
Kabila (lako)
Exp na wanawake- sina Exp yoyote
Shabiki - Wananchi
Je unabet- Sibeti
 
Bila shaka kakutuma umtetee,muulize hivi,kilichomfanya aanze kumtafuta mzazi mwenzake ninini hali ya kuwa alishakataa? Na kama alishabadili maamuzi yake,kwanini alimtafuta kwa kificho pasipo kunishirikisha?
 
Vyovyote atakavyojisikia sawa tu ,hata yeye hajui najisikiaje anaponizunguka
 
Alikuwa na mume akafariki,sasa kumbe mtoto hakuwa wa marehemu mumewe alizaa kabla hajaolewa,na kwa mumewe hakubahatika kupata mtoto,hapo ndipo nilipigwa changa la macho,nilioa nikiamini baba wa mtoto ni yule mumewe aliyetangulia mbele ya haki.
 
Dharau Gani tena apoo.
 
We jamaa uko serious kweli!? Kuoa under 40 ni kuwahi 😆😆😆
 
Wivu ukizidi, mapenzi hupungua!. Umezidi sana wivu!. Ukioa mwanamke mwenye mtoto, lazima wazazi wenza wazungumze wellfare ya mtoto. Usiwe na wivu, mwamini mkeo ni wanazungumza tuu issues za mtoto na sio kukumbushia!.

P
Kukumbushia kunaanzia kwenye mawasiliano/ukaribu Mkuu PM,Mkeo ambaye alishakataa kumtafuta mzazi mwenzake halafu ukagundua anawasiliana naye kwa kificho,kama unampenda kwa dhati wivu haukwepeki.
 
Upendo wa hivyo namwachia Baba Askofu sijui Mchungaji wa FFC.
 
Si unaona majibu Yako ee,yaan wewe Bado sanaaa[emoji1787][emoji1787][emoji2936]
Huwezi ukasema sitoshi bila maelezo halafu utarajie jibu tofauti,ungeniambia sitoshi kwasababu kadha wa kadha ningekuwa na la kusema,Mimi sitoshi na comment yako haitoshi pia.
 
Siandiki umemaliza.
1.mlee huyo mtoto AU
2..akalelewe kwa baba yake.
Hakuna mwanamke atakaemuacha mwanae kwa sababu wewe tu umesema.bayupo...
Na
Mkuuu.
Kama ni wako wite wa3 na uchumi umeyumba UNGEFANYAJE?
Uoni hapo wewe ndo umelitengeneza tatizo
La bibie awasiliane na baba mtu in the first place?
 
Bila shaka kakutuma umtetee,muulize hivi,kilichomfanya aanze kumtafuta mzazi mwenzake ninini hali ya kuwa alishakataa? Na kama alishabadili maamuzi yake,kwanini alimtafuta kwa kificho pasipo kunishirikisha?
Mkuu
Unatafuta sababu.
Nikwambie MWAMBIE TU MUACHANE
ni kama unaokoteza tu sababu.
Humpendi tena huyo mwanamke.
Ila fikiria watoto wenu wote kwa pamoja.tafuta soln kabla hujavunja ndoa.
Maana nakuona ur more than ready
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…