Mke na mume tumeleta mashtaka kwenu

Mke na mume tumeleta mashtaka kwenu

Sichukui time wala nini ninachokwambia kama unataka haki kufa kaidai kwa Mungu sisi wanaume tunachojua Mungu toka mwanzo alitutaka tuowe wanawake kamili tena bikra ninyi makopo tuwaachie waliowazalisha sema ni ajali tu zinatokea kama hivi kwa mleta mada ila hamtakiwi hata kwa bure
Again chukua time, Km unajua unatakiwa uoe bikira unamuoa mwenye mtoto umnyanyase ili iweje?!
 
Nimekusoma katikati ya mistari yako wewe ni single mama tena zaidi ya mara moja maana povu ulilojaza huko juu hatuwezi kusema tofauti.

Yah hii mada single mamas mngeiacha tushauri wanaume na wale wenzenu ambao hawajazalia makwao maana tungejadili kwa uhuru nyie mnajadili kwa mihemko
Hata ukisema mimi ni single mom wakati sio unanipunguzia nini kwani?!…. Kisha wewe Sio bwana Melo mwenye forum yake usiwapangie watu kitu cha kuandika
 
Ushauri wangu ni rahisi tafuta namna kipato kiongezeke usiombe collabo narudia mwanaume usiombe collabo kwenye malezi ya familia yako maana ndio mzizi wa hilo tatizo na ni hatari sana kwa afya ya mwanaume, angalizo wanaume tupo wachache wavulana wengi .
 
Lakin jambo la kutokuwasiliana na mzazi mwenzie ni gumu mno,kama una wivu sana usingeoa singo maza,kuna siku mtoto atakuwa mkubwa atamaliza hatua fulani ya elimu na mama ake atatakiwa kwenda kwenye mahafali na baba ake nae ataenda na wewe itatokea uwe uko busy yaan huwez kwenda ina maana utamzuia mkeo asiende
Huyu lazima atemwe tu sina namna.
 
Ulipoamua kua namtu aliezaa na mwingine huyo uliemkuta ni mwanao wa kwanza km mwanaume huyo ndio ungeanza mpeleka shule then watoto wako. ..ungefanya hivi halafu ukamkuta mkeo anamtafuta mzazi wazamani hapo ungefanya maamuzi magumu. ..kwahali uliotengeneza usitegemee mama amuone mwanae hana future akae tu. .ulifanya kosa cku ya kwanza kabisa
 
Tulioana miaka kadhaa iliyopita na tumejaaliwa watoto wawili. tTulioana mke wangu akiwa na mtoto mmoja aliyezaa akiwa kwao. Miaka ya mwanzoni uchumi uliruhusu kutoa huduma hata kwa mtoto wake ambaye anaishi na mjomba wake, baada ya uchumi kuyumba nikamwambia mwenzangu ongea na shangazi yake mtoto amwambie kaka yake aanze kumhudumia mtoto wake.

Nilifanya hivyo kwasababu sikutaka mke wangu awasiliane moja kwa moja na mzazi mwenzake, mke wangu akakataa akasema hawezi kufanya hivyo. Miezi kadhaa akaja akaniambia alishamtafuta mzazi mwenzake ila alimjibu vibaya, hivyo hana mpango wa kumtafuta tena na namba zake amefuta.

Nikamuuliza mbona nilikwambia umtafute dada yake ukakataa, ilikuwaje ukaanza kuwasiliana na mhusika moja kwa moja? Akajitetea yakaisha, lakini moyoni nikawa na mashaka. Ikabidi nianze kufanya uchunguzi kimya kimya nijue kinachoendelea,

Mungu sio mwanasiasa, kuna siku alikuwa ameenda shamba halafu akasahau simu nyumbani. Nikaanza kuipekua ndipo nikakuta simu ambazo yeye alikuwa akimtafuta mzazi mwenzake, pia nilikuta jumbe alizomtumia wifi yake akilalamika kwamba mzazi mwenzake hapokei simu, na baadaye jumbe ambazo zinaonyesha kwamba tayari wamewasiliana na jamaa na kakubali kwamba atakuwa anatoa hela za ada pamoja na mahitaji mengine.

Aliporudi nikamuuliza kwanini unarudia kosa lile lile mara ya pili, mimi ndiye niliyekupa ushauri halafu hutaki kunishirikisha kwanini? Je, nikisema unamtafuta kwa ajili ya usaliti nitakuwa nakosea? Kama kawaida yake akaanza kujitetea, lakini utetezi wake haukuiniingia moyoni, ikabidi nifanye maamuzi haya;

Nikamwambia hivi, "Sitolala na wewe bila kutumia condom usije ukaniletea maradhi, hawa watoto wawili wanatosha ukitaka mtoto kazae na huyohuyo mzazi mwenzako, na mimi nikitaka nitamfuta wa kuzaa naye".

Sasa yeye anadai namnyanyasa, namuonea kwasababu ana mtoto aliyezaa na mwanaume mwingine, na hataki kukubaliana na maamuzi yangu. Ila mpaka sasa wanaendelea kuwasiliana na mzazi mwenzake kuhusiana na masuala ya mtoto wao.

Je, nani mwenye kosa hapo, mimi au yeye?
Single mother hawafai, Kuna mmoja niliachananae hivyohivyo miaka 4 iliyopita, nimezaanae, na yeye nilimkuta na mtoto, baadae akaanza kuwasiliana na jamaa yake, na nikaja kugundua wanapasha kiporo, nikampiga chini aendelee na huyo mzazi mwenzie
 
Ulipoamua kua namtu aliezaa na mwingine huyo uliemkuta ni mwanao wa kwanza km mwanaume huyo ndio ungeanza mpeleka shule then watoto wako. ..ungefanya hivi halafu ukamkuta mkeo anamtafuta mzazi wazamani hapo ungefanya maamuzi magumu. ..kwahali uliotengeneza usitegemee mama amuone mwanae hana future akae tu. .ulifanya kosa cku ya kwanza kabisa
Kwenye bold!!!

Kuna point unai-miss hapa,hakuna namna utawatenganisha wazazi wa mtoto kama waliweza kukaa uchi wakafanya ngono mpaka wakapata majibu wewe ni nani utakaewatenganisha?

Sababu ya wewe kumpachika singo mama jina ”mke” halimfanyi asimkumbuke aliyemzalisha hata usomeshe mwanae ng’ambo huyo ni mke wenu tena ukishamuowa akapata utulivu wa maisha akapendeza huyo jamaa akimuona alivyopendeza siku akimuitia matumizi ya mwanae hamuachi na atamgonga hampi hata mia utaendelea kusukumiziwa wewe mtoto ulee!single mama kuvua chu¶| kwa baba mtoto wake ni kugusa tu.
 
Single mother hawafai, Kuna mmoja niliachananae hivyohivyo miaka 4 iliyopita, nimezaanae, na yeye nilimkuta na mtoto, baadae akaanza kuwasiliana na jamaa yake, na nikaja kugundua wanapasha kiporo, nikampiga chini aendelee na huyo mzazi mwenzie
Hawana akili,kila mmoja kwa kiwango chake kichwani wana ukichaa!

Unaweza ukajiuliza wanataka nini hasa ktk haya maisha?
 
Unajihangaisha bure mimi Sio single maza, na Km ningekua I was going to care less your opinion, nimeongea Km mwanamke unless hii topic mlitaka wanaume peke yake ndio wachangie
Tatizo umepanic sana, hii inapelekea kuongea vitu ambavyo vinaleta ukakasi na kupelekea kukuvua nguo uonekane km single mother, maana single mothers kwa makasiriko hawajambo.
 
Alishindwa huyo mimi nitaweza?
Hakuna alichoshindwa isipokuwa sio msikivu ninayetaka kushindwa ni mimi,wewe utaweza tu kwasababu ni msikivu ,au nawewe utakuwa unawasiliana na mzazi mwenzako? Hakuna mwanaume atakayekubali mkewe awe anawasiliana na mzazi mwenzake hata kama ana uhakika hawawezi kupasha,hata kama ana uhakika huyu mwanaume alipata ajali akakatwa uume,Mke ni wa mume mmoja kuwasiliana na mzazi mwenzako tayari wewe ni mke wa waume wawili,hapo vipi upo tayari?
 
Mke ni wa mume mmoja.
Huyo mke asiwe single mama.
 
Jabakeke kwanza pole mkuu Kwa changamoto.

Ushauri mwingi humu nilio uona unatoka Kwa wavulana,unajua wavulana Wana Tabia ya kutishana tishana Sana,na kibaya Zaidi wanataka na kuwatisha wenzao

Wanaume huwa hawatishwi na matatizo ya wanandoa Fulani ambao kisa Tu eti masingle Maza Fulani wakiharibu basi masingle Maza wote ndio wabebeshwe msalaba? Hapana hiyo sio Sawa hata kidogo.

Si kila single Maza ana sex na mzazi mwenzake ,nakataa ingawa kuna wavulana watabisha Kwa hofu ambazo wanaishi nazo kila siku,lakini hao hao wanaishi na wanawake ambao hawakuwa single Maza lakin wamezaa na wanaume wengine na wao hawajui,inafikirisha Sana ujue!

Si kila wanachongea watu humu ni sahihi hata kama wako wengi kiasi gani,Bali wengi wao wamejawa na hofu Sana juu ya single Maza, ushauri wangu ukitaka kuoa single Maza uwe umepuvuka kimtazamo na kiakili,lkn kinyume na hapo utaishi na mashaka siku zote.

Ishu yako sijaona tatizo kwasababu mkeo alianza kumtafuta Baba mtoto kwasababu baada ya kuona matunzo Kwa mwanae hakuna,naamini kama ungesimamia hiyo show yasingetokea yote hayo.

Swali kwako dalili moja ya kuonyesha haikuwa tayar kuishi na single Maza ni kukataa mtoto wake asije ishi na wewe?

Kwanini huyo mtoto msikae nae,je unadhani mkeo anafurahi kukaa mbali na mwanae? Kama umeamua kumuoa single Maza basi ungekuwa tayar kuwa Baba WA huyo mtoto.

Namalizia Kwa kusema inahitaji akili kubwa kuishi na single Maza ikiwemo na kumpenda mwanae pia na kuchukua majukumu yote ya mtoto.

Kila la kheri
 
Mke ni wa mume mmoja.
Huyo mke asiwe single mama.
Kama sio single mama ila alishatoa mimba tatu za wanaume watatu tofauti,au hajawahi kushika mimba ila keshatembea na wanaume zaidi ya kumi je huyo ni mke wa mume mmoja au wengi?
 
Jabakeke kwanza pole mkuu Kwa changamoto.

Ushauri mwingi humu nilio uona unatoka Kwa wavulana,unajua wavulana Wana Tabia ya kutishana tishana Sana,na kibaya Zaidi wanataka na kuwatisha wenzao

Wanaume huwa hawatishwi na matatizo ya wanandoa Fulani ambao kisa Tu eti masingle Maza Fulani wakiharibu basi masingle Maza wote ndio wabebeshwe msalaba? Hapana hiyo sio Sawa hata kidogo.

Si kila single Maza ana sex na mzazi mwenzake ,nakataa ingawa kuna wavulana watabisha Kwa hofu ambazo wanaishi nazo kila siku,lakini hao hao wanaishi na wanawake ambao hawakuwa single Maza lakin wamezaa na wanaume wengine na wao hawajui,inafikirisha Sana ujue!

Si kila wanachongea watu humu ni sahihi hata kama wako wengi kiasi gani,Bali wengi wao wamejawa na hofu Sana juu ya single Maza, ushauri wangu ukitaka kuoa single Maza uwe umepuvuka kimtazamo na kiakili,lkn kinyume na hapo utaishi na mashaka siku zote.

Ishu yako sijaona tatizo kwasababu mkeo alianza kumtafuta Baba mtoto kwasababu baada ya kuona matunzo Kwa mwanae hakuna,naamini kama ungesimamia hiyo show yasingetokea yote hayo.

Swali kwako dalili moja ya kuonyesha haikuwa tayar kuishi na single Maza ni kukataa mtoto wake asije ishi na wewe?

Kwanini huyo mtoto msikae nae,je unadhani mkeo anafurahi kukaa mbali na mwanae? Kama umeamua kumuoa single Maza basi ungekuwa tayar kuwa Baba WA huyo mtoto.

Namalizia Kwa kusema inahitaji akili kubwa kuishi na single Maza ikiwemo na kumpenda mwanae pia na kuchukua majukumu yote ya mtoto.

Kila la kheri
Mtoto hajawahi kukosa matunzo Mkuu ,na kuhusu suala la mtoto kukaa mbali nasi ni maamuzi ya wazazi wake.
 
Back
Top Bottom