Mke wa Dkt. Mwaka asema yuko tayari kumuachia Dkt. Mwaka kila kitu mradi apate amani

Mke wa Dkt. Mwaka asema yuko tayari kumuachia Dkt. Mwaka kila kitu mradi apate amani

Anasema yuko tayari kumwachia kila kitu ila bado anataka kubaki na watoto.........zilongwa mbali, zitendwa mbali.......
Kama vipi waingie kwenye plea bargain ili kusije kuwepo na kukabana koo talaka ikishatoka.​
 
Mtu akishataka talaka mpe, uislam unataka mwanamke akipewa talaka akae eda kabla ya kuolewa Tena..eda inaanzia miezi mitatu
na kukumbusha ndugu umesahau talaka ya kuachwa ni miezi 3 yani kila anapo ingia kwa siku zake talaka 1 akiingia tena ya 2 akiingia tena ya 3 baada ya hapa hizo zinaitwa talaka tatu sababu ya kuingia kwa siku zake ni kipimo cha mimba
baada ya hapo atakuwa sio mkewe tena kumrudia mpaka aolewe na mwanaume mwingine waachane tena kwa kufata vigezo via dini ya isilamu hapa anaweza mposa hupiya na kufunga nae ndoa ni hayo ndugu yangu
 
Huyu mwanamke kwa nini analazimisha talaka? kama kuna tatizo kati yake na mwenzie kwanini wasikae chini wayamalize, kama kweli anataka amani? iweje kwake amani iwe inapatikana tu kwa kutengana na mwenzie?
Sasa kama hawezi kuishi na mjamaa wameshindwana kila mtu aendelee na hamsini zake. Ndivyo maisha yanavyokwenda, kama kuna 'irreconcilable differences' hapo hakuna ndoa.
 
Mswahilina bana yani kashikilia mila za Kiarabu kuliko waarabu wenyewe.

Dah eti Eda
wewe mshenzi tu ujui lolote ndio maana mnaabudu masanamu mbwa wewe kasolo mkia mtu kachoka asiachike ulitaka watengane vitanda kisha wauane au kila 1 awe anaenda nje anaziniwa kisha anarudi kisa heti alicho kifunga mungu mbinguni duniani hakuna wa kukitenganisha huo ni ushenzi tangu lini mtu anao mfata paul akajua jinsi ya kuishi na mke paulo kwanza alikuwa shoga huyu hapo chichini[emoji69][emoji116][emoji116][emoji116]
download.jpg
 
Huyu mwanamke kwa nini analazimisha talaka? kama kuna tatizo kati yake na mwenzie kwanini wasikae chini wayamalize, kama kweli anataka amani? iweje kwake amani iwe inapatikana tu kwa kutengana na mwenzie?

Hapo kuna jambo, huyu mwanamke ndio kati ya wale unamuacha saa sita mchana, ikifika saa nane, unasikia yupo sehemu nyingine anafunga ndoa.
Ukute na mimba ya jamaa mwingine, so anawahisha ili isimletee Noma mbeleni huko
 
tanzania hakuna sheria ya kugawana mali kasome sheriya ya ndoa
Anatumia kipengere cha malezi ya watoto, talaka ikitoka tu sheria za jamhuri zitasimama na utaona mengi yana badilika, kuna haki za watoto haki za mama watoto nk.
 
Hawakujua katika suala la ibaada hamna haja ya kuonyesha kwamba umeweza na umefanikiwa Allah kwamba ndoa hutunzwa na Allah, wengine tunapendana na ndoa zetu zimetulia sio kwa ujanja wetu laa. Manara na Mwaka msirudie hivyo vibri vyenu tena.
Umeongea point mno mkuu Mara nyingi hata kwenye maisha tukifanikisha ego ama kibri kinajaa mno tunajiona tu wajanja kuliko wengine yaani tunajisifu kuliko ambaye anayetupa pumzi.Majivuno na kiburi ndio chanzo Cha kuanguka kwa kila kitu
 
na kukumbusha ndugu umesahau talaka ya kuachwa ni miezi 3 yani kila anapo ingia kwa siku zake talaka 1 akiingia tena ya 2 akiingia tena ya 3 baada ya hapa hizo zinaitwa talaka tatu sababu ya kuingia kwa siku zake ni kipimo cha mimba
baada ya hapo atakuwa sio mkewe tena kumrudia mpaka aolewe na mwanaume mwingine waachane tena kwa kufata vigezo via dini ya isilamu hapa anaweza mposa hupiya na kufunga nae ndoa ni hayo ndugu yangu
Siyo kweli hivi ulivyoandika. Eda ya miezi mitatu ndiyo inahesabiwa hivyo siyo talaka. Madhumuni ya eda ya miezi mitatu ni kuwa apate siku zake mara tatu ili kuhakikisha hana mimba ya huyo mtalaka wake.

Talaka inahesabika ni moja tu. Yaani kwa matamshi na kuandika talaka ni moja tu. Ikiwa amemaliza miezi mitatu bila ya kurejeana basi ndiyo talaka imekamilika. Akitaka kumrejea inabidi amuoe tena.

Ikiwa wamekubaliana kurejeana kabla ya miezi mitatu (eda kumalizika) basi haina haja ya kumuoa tena.
 
Anatumia kipengere cha malezi ya watoto, talaka ikitoka tu sheria za jamhuri zitasimama na utaona mengi yana badilika, kuna haki za watoto haki za mama watoto nk.
kama angekuwepo jembe haya yote yasinge tokea
1.jpg
 
Tangu huu Upumbavu wao umeanza kutrend sijafatilia chochote. Lakini I'm not sure inakuaje mtu una miaka 55 yes Kama dk mwaka then unaangika na bitches Kama dk mwaka?
 
Sasa mpaka mtu ameamua anataka kuachana,kwanini umlazimishe uwe nae.

Mwanamke nae ana haki,kama hataki basi archive,mbona hamna shida,hata kama akiolewa huko

Sent from my SM-M115F using JamiiForums mobile app
Hata ingekuwa wewe mzigo kama ule unauachiaje kirahisi? Nipo pamoja na Dkt Mwaka hakuna kumpa talaka yule Queen bali arudi kwa mumewe wayajenge maisha.
 
Siyo kweli hivi ulivyoandika. Eda ya miezi mitatu ndiyo inahesabiwa hivyo siyo talaka. Madhumuni ya eda ya miezi mitatu ni kuwa apate siku zake mara tatu ili kuhakikisha hana mimba ya huyo mtalaka wake.

Talaka inahesabika ni moja tu. Yaani kwa matamshi na kuandika talaka ni moja tu. Ikiwa amemaliza miezi mitatu bila ya kurejeana basi ndiyo talaka imekamilika. Akitaka kumrejea inabidi amuoe tena.

Ikiwa wamekubaliana kurejeana kabla ya miezi mitatu (eda kumalizika) basi haina haja ya kumuoa tena.
sasa hapo una pinga nini unakubali nini,kuna talaka ya kumludia mke na kuna ya kutomludia kabisa

ya kumlejea mwisho mbili na sio heti wanakubaliana kuludiana lah anae mludie mwenzie ni mume sababu anae acha pia ni mume sio mke

hilo ulijue anaweza muweka eda asubuhi akamrejea mchana lakini tayali inahesabika talaka 1
 
wewe mshenzi tu ujui lolote ndio maana mnaabudu masanamu mbwa wewe kasolo mkia mtu kachoka asiachike ulitaka watengane vitanda kisha wauane au kila 1 awe anaenda nje anaziniwa kisha anarudi kisa heti alicho kifunga mungu mbinguni duniani hakuna wa kukitenganisha huo ni ushenzi tangu lini mtu anao mfata paul akajua jinsi ya kuishi na mke paulo kwanza alikuwa shoga huyu hapo chichini[emoji69][emoji116][emoji116][emoji116]View attachment 2510383
Tayari nimeshakuwini kisaikolojia.

YESUU AKBAAAAARRRRR
 
Back
Top Bottom