Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwanini ana haki yake, tena huyu akipewa talaka anaenda kupata mme mwenye hadhi kuliko hata Mwaka kashafanya matangazo ya kutosha.Ule mzigo siyo wa kuupa talaka kiwepesi hivyo!
Ninachopinga ni weewe kusema kila akipata siku zake ndiyo inahesabu talaka mojasasa hapo una pinga nini unakubali nini,kuna talaka ya kumludia mke na kuna ya kutomludia kabisa
kuna talaka aina gapi?Siyo kweli hivi ulivyoandika. Eda ya miezi mitatu ndiyo inahesabiwa hivyo siyo talaka. Madhumuni ya eda ya miezi mitatu ni kuwa apate siku zake mara tatu ili kuhakikisha hana mimba ya huyo mtalaka wake.
Talaka inahesabika ni moja tu. Yaani kwa matamshi na kuandika talaka ni moja tu. Ikiwa amemaliza miezi mitatu bila ya kurejeana basi ndiyo talaka imekamilika. Akitaka kumrejea inabidi amuoe tena.
Ikiwa wamekubaliana kurejeana kabla ya miezi mitatu (eda kumalizika) basi haina haja ya kumuoa tena.
Hilo Mwaka analijua ndiyo maana hataki kumpa talaka mrembo wake. Kuna fisi wamekaa tayari wanasubiri Mwaka atoe talaka wakajisevie. Mwaka akomae Queen atarejea tu hasira zikiisha. Unampaje talaka mtoto kama Queen?!Kwanini ana haki yake, tena huyu akipewa talaka anaenda kupata mme mwenye hadhi kuliko hata Mwaka kashafanya matangazo ya kutosha.
swali kuna aina ngapi za talaka?ninachopinga ni weewe kusema kila akipata siku zake ndiyo inahesabu talaka moja
Mwaka mjinga unaanza je kufarakana na mke msomi mzuri mwenye exposure wakati wengine tunavumilia vibakuli wetu huku, subiri atashangaa kuona watakao jitikeza kumchukua, matajiri wengi wanaangaika na kupata wake wazuri, wana kila kitu ila wanakosa wake wakuwaongezea thamani katika maisha yao.Hilo Mwaka analijua ndiyo maana hataki kumpa talaka mrembo wake. Kuna fisi wamekaa tayari wanasubiri Mwaka atoe talaka wakajisevie. Mwaka akomae Queen atarejea tu hasira zikiisha. Unampaje talaka mtoto kama Queen?!
Mwaka ameshatambua kosa lake ndiyo maana hataki kutoa talaka. Akiuacha ule mzigo dakika mbili nyingi baada ya eda watu wamebeba.Mwaka mjinga unaanza je kufarakana na mke msomi mzuri mwenye exposure wakati wengine tunavumilia vibakuli wetu huku, subiri atashangaa kuona watakao jitikeza kumchukua, matajiri wengi wanaangaika na kupata wake wazuri, wana kila kitu ila wanakosa wake wakuwaongezea thamani katika maisha yao.
Una uhakika!!?..Qur'an inasema hivyo!?..acheni kumzulia Allah sw uwongo enyi watu,someni Qur'an mbona ipo wazi na rahisi kueleweka!!na kukumbusha ndugu umesahau talaka ya kuachwa ni miezi 3 yani kila anapo ingia kwa siku zake talaka 1 akiingia tena ya 2 akiingia tena ya 3 baada ya hapa hizo zinaitwa talaka tatu sababu ya kuingia kwa siku zake ni kipimo cha mimba
baada ya hapo atakuwa sio mkewe tena kumrudia mpaka aolewe na mwanaume mwingine waachane tena kwa kufata vigezo via dini ya isilamu hapa anaweza mposa hupiya na kufunga nae ndoa ni hayo ndugu yangu
hapa hatugombani mambo ya dini hayataki jaziba qur,an inasemaje?Una uhakika!!?..Qur'an inasema hivyo!?..acheni kumzulia Allah sw uwongo enyi watu,someni Qur'an mbona ipo wazi na rahisi kueleweka!!
wewe hauko sawa kama unaweza mdharau kiasi hicho mkeo kisa mke wa mwaka pole sana nduguMwaka mjinga unaanza je kufarakana na mke msomi mzuri mwenye exposure wakati wengine tunavumilia vibakuli wetu huku, subiri atashangaa kuona watakao jitikeza kumchukua, matajiri wengi wanaangaika na kupata wake wazuri, wana kila kitu ila wanakosa wake wakuwaongezea thamani katika maisha yao.
Wewe Hilo la kila hedhi talaka umelitoa wapi!?hapa hatugombani mambo ya dini hayataki jaziba qur,an inasemaje?
Ukiona Mtu anataka Talaka ujue amekuchoka na hakutaki tena, na hata akiolewa saa nane mchana shida iko wapi? Kumng'ang'ania mtu asiyekupenda wewe ndio unaonekana ni mjinga na mdhaifu.Huyu mwanamke kwa nini analazimisha talaka? kama kuna tatizo kati yake na mwenzie kwanini wasikae chini wayamalize, kama kweli anataka amani? iweje kwake amani iwe inapatikana tu kwa kutengana na mwenzie?
Hapo kuna jambo, huyu mwanamke ndio kati ya wale unamuacha saa sita mchana, ikifika saa nane, unasikia yupo sehemu nyingine anafunga ndoa.
Ugomvi wa ndoa ni vita isiyotumia risasi hawawezi kukaa chini na kuyajenga. Kila mtu anapambana ili mmoja apate maumivu mkuu mapenzi matamu uyaone hivyo hivyo yanaanza.Huyu mwanamke kwa nini analazimisha talaka? kama kuna tatizo kati yake na mwenzie kwanini wasikae chini wayamalize, kama kweli anataka amani? iweje kwake amani iwe inapatikana tu kwa kutengana na mwenzie?
Hapo kuna jambo, huyu mwanamke ndio kati ya wale unamuacha saa sita mchana, ikifika saa nane, unasikia yupo sehemu nyingine anafunga ndoa.
unaniuliza tena umesema qur,an hasimi hivio ni kakuuliza hivi qur,an iasemaje? jibu swali inasemaje kuhusu hili nikosoe kwa hoja niko tayali kukosolewa sio jazibaWewe Hilo la kila hedhi talaka umelitoa wapi!?
Sema mambo ya ndoa mengi hayasemwi hadharani, ila mwaka nae alishawahi kimleta kwenye media tena wake wote wawili kwa kujidai kwamba iko vizuri nao, Mke kaiga hilo, what goes round comes round, mwaka is responsible kwa hi saga......kwani ni wangapi wanamgogoro na wake zao ila wanamalizana kimya kimya, huwezi kushindana na mwanamke kwenye vita ya kupata sympathiser iko tayari hata kulia ili kupata huruma yako hata kama yeye ndo mkosaji kwani yeye Mwaka hakujua hilo, Mwaka hawezi kushinda hiyo vita atadhalilika zaidi na zaidi kuna NGO nyingi za kutetea haki zawanawake watadandia hi case asubhi mapema. Bora atoe talaka yaishe mapema.Wanawake wana advantage moja kubwa nao wanajua kuitumia vizuri..
Kupretend u victim au kuonewa...
Hamna kiumbe anajua kuigiza maigizo ya kuonewa km mwanamke..Ukisikiliza vzr clip zote zA huyu mke wa mwaka..unagundua anatumia advantage hiyo vzr..
Hivi huyu dada niwakuombA raisi wa nchi amsaidie kuvunja Ndoa??labda sasa atuambie kipi specific ambacho ana fanya saizi km sio defamation..
Ndoa kuvunjika ni sawa kwa utaratibu wa dini Yao ya kiislam ila kufanya ndoa yako ni center of attention tena kwa kuleta kikosi kazi cha maandamano mixer kwenda clouds halafu hapo hapo ana play victim card while anamfanyia defamation Dr Mwaka .Ni mjinga tu ndo atabisha kwamba mwanamke huyu anatumia mbinu za kike kumuumiza Dr .Mwaka
Otherwise atoke open aseme km ni kuachana tu au kuna siri nyingine ambazo hatuzijui...
Ogopa sana hawa wanajiita wanyonge.. matendo yake maneno yake haviendani, vinaonyesha kabisa ukiacha Kuvunjika kwa Ndoa lakini nataka nikuharibie sifa Yako kwa watu,nikuchafue na ndo anachofanya kwa sasa.
Kwenda tu kule kwenye baraza lao ilitosha mchakato wa Ndoa kuvunjwa kufanyika haya hili la clouds lilikuwa na ulazima???Hapana,
Kwani mwanamke akijikuruhu (kujivua ndoa) Kuna shida gani?Kumbuka hio ni ndoa ya kiislamu so talaka inaruhusiwa na kuolewa tena inaruhusiwa pia
Kwani kuna tatizo akiolewa tena?
Mkichokana msisubirie mpaka muuane.
Mwanamke keshamchoka mwaka so mwaka atoe talaka bibie awe huru