Etugrul Bey
JF-Expert Member
- Aug 6, 2020
- 6,514
- 15,247
Chief hujui unachosemq ndio maana unapigia chapuo zaidi mahakama ya jamhuri.Hizo ni story za abunuasi. Hakuna kilichojitosheleza hapo, mapungufu ni kibao ni kwa sababu hamruhusiwi kufanya amendment au kuhoji. Na hii ilisababishwa na baadhi ya watu kunyimwa elimu ya kawaida na kukaririshwa hiyo ilimu . Ona Sasa zama hizi za utanda wazi wale wanawake mliokuwa mnawafungia ndani Sasa wanatokana kuandamana hadi msikitini kudai haki zao na wao wanatambua kuwa mahakama Ipo ndio maana wanaomba certificate
Wewe umelishwa Da'awa hatuwezi kufika muafaka. Kama ungetumia akili yako hata kidogo tungeelewana. Lakini upo kwanye what book sayChief hujui unachosemq ndio maana unapigia chapuo zaidi mahakama ya jamhuri.
Sheria za Mungu huwa zinapitwa na wakati?
Wewe na Mungu Nani anawajua vizur viumbe wake?
Nikuulize swali moja Tu ndo nitajua uelewa wako na huenda tukamaliza mjadala chapWewe umelishwa Da'awa hatuwezi kufika muafaka. Kama ungetumia akili yako hata kidogo tungeelewana. Lakini upo kwanye what book say
Hivi yule mkewe wa kwanza tuli mwaka walishaachana ama? Maana naona huyu wa pili ndio anaitwa mkubwa!
Tuli mwaka ndio aliyeanza naye maisha huyu wa pili na wa tatu aliwaoa baadaye
Motiveshno spika tuu
We umejuaje?mbona Kama una uhakika Sana na Jambo linalofanywa gizani?anachimba sana
Nahadithia sakata la dr mwaka kutokana na juma lokole na dida mnisamehe nitaiga lafudhi ya juma lokole mainitoe kwenye kundi [emoji23][emoji23][emoji23]
Basi bwana (hapa wanaongea chini chini) bwana yule kamfukuza mkwewe kwenye nyumba yake anataka atoke sasa hatishi wapi navyenyewe alikuwa anajidai mjini anapendwa
anadakia dida kwasauti ndio maana tunasema wanawake watafute vyao sio kujivunia vya mwanaume
Juma lokole tunakuomba sana dr mwaka msahehe yule dada aludi kwenye nyumba kwasabbu ana mtoto mdogo
Anadakia dida sasa wale wamama wenye baibui wameenda kufanya nini pale
Juma lokole kumpambania ex wife haludi kwenye nyumba hile hana pakwenda na mizigo yake hile
Wanaungana kwa pamoja kumuomba dr mwaka hamludishe ex wife pale nyumbani kuhusu taraka ishatolewa kwa mdomo hila mke anataka taraka hile ya bakwata kwhio kinacho wapeleka pale ni kudai haki ya mtoto abaki pale kwenye nyumba
Gafla huko wasp status kumbe dr mwaka anatuma vijembe kwamba waendelee walipo ishia na mke wake alie bakia wameenda dubai
Sijui kuandika nimeishia darasa la nne c sorry
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 Ndio ilivyo, utapenda watu watatu kwa usawa wewe ni Yesu? Lazma kuna mmoja anajua kukufinyia vizuri na kupetipeti ndio utaoza kwake zaidi.Hata post zake za nyuma huwa anampendelea Sana yule aliyenae huko vacation""utasikia next stop!bibie anajibu "Texas"...kumbe anarushwa roho mtu
Wengi wao wanakuwaga na msongo wa mawazo,Nimeona kwa baadhi ya jamaa na marafiki ukiona stutus kawa mshauri Sana,ana motivate kupita kiasi ukicheck mfumo wake wa Maisha kwa kipindi hicho utagundua anapitia wakati ngumu kimahusiano au kiuchumiUkiona mtu anajidaia mke au anampost post weka viulizo
Shimmy kamfinyia kwa ndani Juma😂🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 Ndio ilivyo, utapenda watu watatu kwa usawa wewe ni Yesu? Lazma kuna mmoja anajua kukufinyia vizuri na kupetipeti ndio utaoza kwake zaidi.
Kwani watanzania ndio wamewatuma hao wakina mama Bakwata?Nimegundua Watanzania tuna chuki mno na watu wenye pesa. Tutafute hela wazee.
Eeh bana af huyo shimmy sindio anashindaga ubungo Plaza pale, kipindi nafanya kazi kwenye lile jengo kuna mahali nilikuwa namuonaga sana on a daily. Bonge moja la shangingi la kimjini mjini.Shimmy kamfinyia kwa ndani Juma😂
Mwaka ana wake 3 huyo ni mke wa 1 na siku nyingi alikuwa hana maelewano nae inasemekana wale wawili anapiga threesum mke mkubwa upuuzi hataki kaamua avunje ndoa kabisa.Itakua jamaa kaishiwa mtonyo au sio
Ndoa inamambo mengi sana ndugu zangu kama hujabahatika kuoa basi muombe mungu sana akujalie mwanamke mwenye hekma yote hayo unayaona kwa mke wa dr.mwaka n mwanamke kukosa busara na hekima kukimbilia mitandaoni lengo kimchafua jamaa ni seme tuu kuwa ikinyesha ndio utajua wapi panavuja Leo anatak taraka hadharani lakini kesho atataka warudiano kwa sirii ndivyo walivyo wanapokuwa wanatak kuondoka huondoka kwa kelele na kumwaga Siri zote ila akikaa akaona Mambo yamebuma anaitaji suluhu kwa Siri ili arudi aisee wanawake waonenii tuuu Kama hayajakukuta tema matee chinii
Kundi kubwa la wamama waliovalia vazi nadhifu la hijabu huku wakiwa wamefunika nyuso zao kwa Nikabu , limevamia ofisi za Bakwata kwa madai ya kuchoshwa na kupigwa danadana ya kumalizwa kwa mgogoro wa ndoa kati ya Dr Mwaka na Mkewe.
Sizifahamu taratibu za BAKWATA, lakini inatuhumiwa kuchelewesha Talaka kati ya wawili hao.
Bali haijajulikana chanzo cha mgogoro huo hadi kufikia kudhalilishana kwa kiwango hicho.
🤔🤔🤔🤔Dokta anakashfa ya kupitia getti dogo na ndio anataka ME waache ku dronedrake
Hapo sawa.Nadhani wengine ni ndugu wa mlalamikaji