Etugrul Bey
JF-Expert Member
- Aug 6, 2020
- 6,514
- 15,247
Chief hujui unachosemq ndio maana unapigia chapuo zaidi mahakama ya jamhuri.Hizo ni story za abunuasi. Hakuna kilichojitosheleza hapo, mapungufu ni kibao ni kwa sababu hamruhusiwi kufanya amendment au kuhoji. Na hii ilisababishwa na baadhi ya watu kunyimwa elimu ya kawaida na kukaririshwa hiyo ilimu . Ona Sasa zama hizi za utanda wazi wale wanawake mliokuwa mnawafungia ndani Sasa wanatokana kuandamana hadi msikitini kudai haki zao na wao wanatambua kuwa mahakama Ipo ndio maana wanaomba certificate
Sheria za Mungu huwa zinapitwa na wakati?
Wewe na Mungu Nani anawajua vizur viumbe wake?