Mke wa Dr. Mwaka anadai Talaka 3. Sasa yale mafundisho yake ya ndoa tufuate au tumteme?

Mke wa Dr. Mwaka anadai Talaka 3. Sasa yale mafundisho yake ya ndoa tufuate au tumteme?

Wakuu

Huko Millard Ayo karipoti kuwa jamaa mke wake wa South Africa anadai talaka na toka mwaka jana hawako pamoja, sasa yule alitufanya wanaume tuonekane hatuna mapenzi na wake zetu kumbe nae ndani kuna waka moto.

Haya mambo tuulizane yale nafundisho yake tuyafuate au tumteme maana hata yeye kusomesha watoto kashindwa eti kisa arudiane na mke ndio atasomesha kumbe nae mwaka akili kisoda.

Wanaume tunasema hatutaki tena mafundisho yake uchwara ya ndoa, maana kwake hayajafanya kazi kwetu itakuaje si atafanya na ndoa zetu zivunjike.

View attachment 2493377
dk mwaka alikuwa anafekisha life ili apate pesa tu lakini ukweli hana lolote
 
Wakuu

Huko Millard Ayo karipoti kuwa jamaa mke wake wa South Africa anadai talaka na toka mwaka jana hawako pamoja, sasa yule alitufanya wanaume tuonekane hatuna mapenzi na wake zetu kumbe nae ndani kuna waka moto.

Haya mambo tuulizane yale nafundisho yake tuyafuate au tumteme maana hata yeye kusomesha watoto kashindwa eti kisa arudiane na mke ndio atasomesha kumbe nae mwaka akili kisoda.

Wanaume tunasema hatutaki tena mafundisho yake uchwara ya ndoa, maana kwake hayajafanya kazi kwetu itakuaje si atafanya na ndoa zetu zivunjike.

View attachment 2493377
Yaani ndoa yako unaiishi kwa kutegemea mafundisho ya huyo Mwaka?
 
Yule alikua anatueleza tusinywe soda, tule dona na mazoezi tusipate vitambi, siku moja mwaka juzi naingia mgahawa mmoja Arusha nakuta anapiga pilau na coca baridi na ashakua na kitambi kikubwa, ukiwasikiliza hawa jamaa unaweza kupotea
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 nimecheka sana,
 
Kundi kubwa la wamama waliovalia vazi nadhifu la hijabu huku wakiwa wamefunika nyuso zao kwa Nikabu , limevamia ofisi za Bakwata kwa madai ya kuchoshwa na kupigwa danadana ya kumalizwa kwa mgogoro wa ndoa kati ya Dr Mwaka na Mkewe.

Sizifahamu taratibu za BAKWATA, lakini inatuhumiwa kuchelewesha Talaka kati ya wawili hao.

Bali haijajulikana chanzo cha mgogoro huo hadi kufikia kudhalilishana kwa kiwango hicho.
 
Angekuwa dr Mwaka anataka kumuacha mkewe yaani anatoa talaka yeye ya kumwacha mke wake angeandika tu fasta tu barua tatu za talaka. Ndoa ingekuwa imeshaisha

Mwanamke wa kiislamu hajapewa hiyo nguvu ya kuandika talaka. Yeye ni mpaka adai kwa mumewe amuandikie.

Kwenye dini ya uislamu Mwanaume peke yake ndie ana haki ya kuandika talaka
 
Kundi kubwa la wamama waliovalia vazi nadhifu la hijabu huku wakiwa wamefunika nyuso zao kwa Nikabu , limevamia ofisi za Bakwata kwa madai ya kuchoshwa...
Kulala na wanawake wawili wa kaliba tofauti kitanda kimoja kila siku kunahitaji akili ambayo hata malaika hawana!

Mfalme Suleiman na libido lake lote lakini alikuwa anapiga @ per! Majini yenyewe yameshindwa binadamu ataweza wapi?
 
Back
Top Bottom