Mke wa Dr. Mwaka anadai Talaka 3. Sasa yale mafundisho yake ya ndoa tufuate au tumteme?

Mke wa Dr. Mwaka anadai Talaka 3. Sasa yale mafundisho yake ya ndoa tufuate au tumteme?

Usikute shehe anajisevia huyo mtalaka.
Kuna wale mashehe waliitwa kwa sheikh wa mkoa wa daslam wajieleze kuwa kwa nini walishiriki ibada ya nabii wa mchongo Geo Davie.

Wale mashehe wakadai waliamka asubuhi wakajikuta wako Arusha bila kujijua wakajikuta jioni wamerudi Dar wanadai walipelekwa kwa nguvu za giza

Shehe akawa hana ujanja
Daahh hii kali yake
 
Sisi tunajua shekh keshafanya yake na yule mama Yuko free.
Siku zote masheikh ndio tunaowaona wakifungisha ndoa, iweje Mambo yakiharibika kadhi ndio aingilie?
Binafsi namkubali Sana sheikh wa mkoa wa Dar. Yule muungwana ana busara Sana, mpaka kufikia uamuzi ule lazima Kuna uovu aliuona kwa huyu sangoma.
Swali ni kwamba ana mamlaka ya kuvunja ndoa?tusizungumzie mazoea
 
Back
Top Bottom