Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 38,283
- 97,793
Lile agizo la kuishi nao kwa akili Dr Mwaka lishamshinda
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii ni baada ya kupinga kamati ya Mashehe wa BAKWATA (aliowaita wahuni) kuvunja ndoa yake kienyeji .
Amedai binafsi ana ugomvi wa siku nyingi na Shehe wa Mkoa wa DSM , kwahiyo hana imani naye .
kwamba atalogwa ?ANGUKO LA DR MWAKA LIPO KARIBU
Mkwara tu!! Ndoa za kujianika mitandaoni ni ushamba.
Haaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787], Kiki hizi za bure bure
Mambo ya ndani unaleta njeMotivesheni zote zile alizokuwa anatupatia kuhusu ndoa leo ndoa yake tia maji tia maji anashindwa hata kuiokoa....nmekuja kungua ndoa sio show off wale wote waliofanya show off ndoa zao chaali cha mende
Daahh hii kali yakeUsikute shehe anajisevia huyo mtalaka.
Kuna wale mashehe waliitwa kwa sheikh wa mkoa wa daslam wajieleze kuwa kwa nini walishiriki ibada ya nabii wa mchongo Geo Davie.
Wale mashehe wakadai waliamka asubuhi wakajikuta wako Arusha bila kujijua wakajikuta jioni wamerudi Dar wanadai walipelekwa kwa nguvu za giza
Shehe akawa hana ujanja
Swali ni kwamba ana mamlaka ya kuvunja ndoa?tusizungumzie mazoeaSisi tunajua shekh keshafanya yake na yule mama Yuko free.
Siku zote masheikh ndio tunaowaona wakifungisha ndoa, iweje Mambo yakiharibika kadhi ndio aingilie?
Binafsi namkubali Sana sheikh wa mkoa wa Dar. Yule muungwana ana busara Sana, mpaka kufikia uamuzi ule lazima Kuna uovu aliuona kwa huyu sangoma.
Ngoma bado mbichi,ngoja tuoneMwaka bwana....yaani yeye ale Bata na bi mdogo, mwenzie alale peke yake kila Siku Kama mseja?
Aache ubinafsi Kama yeye anaendelea kula maisha na mwenzie anahitaji wa kumfariji pia.
Kwani we hupendi mizigo sheikhMashee Bakwata wanapenda wanawake walio nona
Mi nadhani dokta wa mapenzi labda, japo ameshindwa kutibu yakeKwani jamaa ni dokta kweli au jina tu??
[emoji3][emoji3]Anahangaika Ni Suala La Muda Tu Itajulikana!! Ajipange Vinginevyo Atapangwa Chap
Ana PhD in Sewage systems ndo mana mke katoka nduki pichu mkononiKwani jamaa ni dokta kweli au jina tu??
Mtu kasema anataka kukuacha..na hana mpango na wewe...wewe unakimbilia makaratasi, sijui kadhi....huyo mama mpaka kufikia hatua ya kuropoka publically ujue hamna kitu hapo....
Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
Mfumo wa maji taka?Dr mwaka kashaingia kwenye mfumo [emoji23][emoji23][emoji23]