shida ni kwamba hauna ubongo, unatafakari kwa kutumia makamasi. hujui hata unachoongea, ulishawahi kuoa wewe? au ndio wale wale wa kisasa.
Siku ukiwa jela ndiyo utanikumbuka kuwa nafikiria kwa kutumia makamasi. Nina mke na mtoto mmoja na huo upuuzi siwezi kuufanya.
Watu wameelewana, wamechukua mpaka chumba halafu wewe unachukua jukumu la kwenda kuwaua, sijui kumlawiti mgoni wako. Ni ujinga sana wa kiwango cha PHD
Utagombana na wanaume wangapi? Leo umemkuta na juma, umegombana naye, kesho umemkuta na mwingine umegombana naye. Siku anaenda kusalimia kwao, analiwa huko huko kwao, wewe unaacha shughuli zako, unamfuatilia mkeo. Ni upuuzi sana wa kiwango cha PHD
Kuna rafiki yangu mmoja naye alikuwa anampenda sana mkewe kama wewe, siku moja jamaa akagundua mkewe anamsaliti tena kwenye kitanda chake, akamuonya mkewe, akatulia, akamfuma tenana jamaa huyo huyo. Watu wakamshauri, achana na huyu mwanamke. Jamaa akasema anampenda sana, mkewe hawezi kumuacha. Akamfuma tena kwa mara ya tatu na jamaa yule yule. Alichokifanya, usiku wamelala, akaamka, akamuua mkewe tena kwa kumkata kata na panga, alitenganisha kila kiungo, mkono, miguu, kichwa, mpaka Kyum***a yenyewe aliikata. Alivyomaliza, akamfunika mkewe na shuka. Kumbuka hapo wapo kijiji, asubuhu akaenda kijijini kwao. Alipofika, usiku jamaa akajinyonga mpaka kufa. Wakazika, imepita siku 3 ndiyo wanagundua mkewe naye aliuliwa kwa kukatwa katwa na mapanga. Alipata faida gani? Mtu umekutana naye ukubwani ndiyo akuangaishe?
wanaume rijali huwa tunaangalia
1. Kutengeneza hela na kuandaa maisha mazuri ya uzeeni
2. Kuhudumia familia kwa ukamilifu
3. Unamchukulia mwanamke kama sehemu ndogo sana kwenye maisha yako, yupo pale ili akuzalie watoto na siyo kitu kingine. Sijui kumpenda mwanamke hiyo hakuna. Akifanya ujinga, anaachwa,
4. Ajue mwanamke misimamo yako, ajue kuwa ukimfumania, ndoa ndiyo imeishia hapo hakuna tena kuombana msamaha. Nihangaike kumchunga mtu mzima, hiyo ni big NO
Watu waliowapenda sana wake zao, wameishia jela na wengine kufa. Mwanamke akiamua kugongwa, atagongwa hata kama wewe upo, unaenda kazini, asubuhi jamaa anaingia kula mzigo.
MWANAMKE KAMA HAWEZI KUJITUNZA YEYE MWENYEWE, MUACHE AWE HURU. UWAZE HELA, UWAZE NA MWANAMKE AMBAYE UKIFA KESHO ANAOLEWA NA MWANAUME MWINGINE.
ACHA KUOA MWANAMKE MALAYA, UTATESEKA SANA