Mke wa Jirani yangu ananipa chakula kila apikapo

Acha mazoea na wake za watu, teena kaa nae mbali
Utatengenezewa fumanizi la uongo uaibike
 
Habari wakuu,

As the head above explains, Imekuwa kama inataka kuwa kawaida tu sasa kila nishindapo nyumbani kuna mke wa jirani yangu ikiwa atapika mchana na kujua kuwa nipo basi ni lazima atanigongea mlango baada ya chakula kuiva.

Me ni bachela ndiyo na huwa sipendelei sana kupika kutokana uvivu na ikitokea nimepika basi nimekaanga mayai au kuchemsha so, mara nyingi nikiwa home nashinda zangu ndani na huwa naorder vyakula restaurant kikifika napigiwa simu tu natoka nachukua na kurudi ndani kula.

Tabia hii ya kupewa chakula na jirani yangu imeanza kunikera kwani huwa nafikiria kwamba kila siku ananipa yeye tu alafu mimi sipikagi wala hivyo sitiweza kumpatia na yeye wakati mwingi kama fidia sasa si nitakuwa kama namnyonya?

Natamani niwe nakataa ila sina njia yenye busara maana kuna siku nilimuambia nimeahakula akaniambia weka tu utakula hata baadae, Je.. nitumie njia gani ya kuwa ninakataa chakula chake bila kumfanya ajisikie vibaya?
Anakuletea mda gan? Anza kubadili ratiba yako kwa muda uo husika anaokuleteaga! Au mumewe akiwepo anakuletea pia?
 
Kuna siku hiko chakula kitakutokea puani, wee subiri.
 
Andaa na kikopo cha babycare kabisa maana inaonekana unapenda kujitoa akili.
 
Anakusaidia jiran yake. Cha kufanya ongea na mumewe pia kuwa uwe unachangia pesa. Tena umpe mumewe mbele ya mkewe
 
Habari wakuu,

As the head above explains, Imekuwa kama inataka kuwa kawaida tu sasa kila nishindapo nyumbani kuna mke wa jirani yangu ikiwa atapika mchana na kujua kuwa nipo basi ni lazima atanigongea mlango baada ya chakula kuiva.

Me ni bachela ndiyo na huwa sipendelei sana kupika kutokana uvivu na ikitokea nimepika basi nimekaanga mayai au kuchemsha so, mara nyingi nikiwa home nashinda zangu ndani na huwa naorder vyakula restaurant kikifika napigiwa simu tu natoka nachukua na kurudi ndani kula.

Tabia hii ya kupewa chakula na jirani yangu imeanza kunikera kwani huwa nafikiria kwamba kila siku ananipa yeye tu alafu mimi sipikagi wala hivyo sitiweza kumpatia na yeye wakati mwingi kama fidia sasa si nitakuwa kama namnyonya?

Natamani niwe nakataa ila sina njia yenye busara maana kuna siku nilimuambia nimeahakula akaniambia weka tu utakula hata baadae, Je.. nitumie njia gani ya kuwa ninakataa chakula chake bila kumfanya ajisikie vibaya?
Sio kwamba huo ni mtego, huyo anataka uwe mke mwenzake. Shauri yako.
 
wewe hutaki kabisa mahusiano na huyo mwanamke??
Naona watu wanakuza sana mambo wakati suala sio big issue wala, Me huyu dada tunaheshimiana nae na pia ana watoto na ana mimba bado na wala kimtazamo hatuwezi hata siku moja kufikiriana kulana ila ndo hivyo sipendi anavyonipa msosi wake tu ila nashindwa nikatae vipi asijisikie vibaya
 
kwanini unajiskia vibaya
 
Ikitokea Mume wake akahisi jambo baina yenu itakua ngumu kumuelewesha hapo baadae...

Afadhali umwambie ukweli sasa, ili aache mara moja kuliko litokee la kutokea mbeleni...
 
Kwanini mnakuwa na mawazo ya uelekeo kwamba huyo mwanamke anamtaka? Kuna wanawake wana Tabia hiyo toka moyoni yaan ukarimu anajifeel guilt yeye amepika halafu wewe hujapika anaona kama unapata tabu...hizi kesi zipo sanaaaa na unaweza kuta huyo mwanamke anaweza asimtake kabisa ...ni ukarimu tu..
 
Back
Top Bottom