Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 52,160
- 48,974
Tatizo umekaa kinyonge
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tatzo sio kijana,tatzo ni hawa wake zetu wanaoona ndani vipo vingi mpaka vingine anagawa,wajinga sanautakachokuja kufanyiwa na bwanake pia ulete mrejesho. vijana mnajionaga wajanja sana sometimes
Kifo chako kimekufuata nyumbani sasaHabari wakuu,
As the head above explains, Imekuwa kama inataka kuwa kawaida tu sasa kila nishindapo nyumbani kuna mke wa jirani yangu ikiwa atapika mchana na kujua kuwa nipo basi ni lazima atanigongea mlango baada ya chakula kuiva.
Me ni bachela ndiyo na huwa sipendelei sana kupika kutokana uvivu na ikitokea nimepika basi nimekaanga mayai au kuchemsha so, mara nyingi nikiwa home nashinda zangu ndani na huwa naorder vyakula restaurant kikifika napigiwa simu tu natoka nachukua na kurudi ndani kula.
Tabia hii ya kupewa chakula na jirani yangu imeanza kunikera kwani huwa nafikiria kwamba kila siku ananipa yeye tu alafu mimi sipikagi wala hivyo sitiweza kumpatia na yeye wakati mwingi kama fidia sasa si nitakuwa kama namnyonya?
Natamani niwe nakataa ila sina njia yenye busara maana kuna siku nilimuambia nimeahakula akaniambia weka tu utakula hata baadae, Je.. nitumie njia gani ya kuwa ninakataa chakula chake bila kumfanya ajisikie vibaya?
We endelea tu kula jasho la mwanaume anayesoma kumtafutia mkewe chakula. Ipo siku hayo mayai hapo kwako yatageuka kuwa kilainishi kwenye kalio lako.Habari wakuu,
As the head above explains, Imekuwa kama inataka kuwa kawaida tu sasa kila nishindapo nyumbani kuna mke wa jirani yangu ikiwa atapika mchana na kujua kuwa nipo basi ni lazima atanigongea mlango baada ya chakula kuiva.
Me ni bachela ndiyo na huwa sipendelei sana kupika kutokana uvivu na ikitokea nimepika basi nimekaanga mayai au kuchemsha so, mara nyingi nikiwa home nashinda zangu ndani na huwa naorder vyakula restaurant kikifika napigiwa simu tu natoka nachukua na kurudi ndani kula.
Tabia hii ya kupewa chakula na jirani yangu imeanza kunikera kwani huwa nafikiria kwamba kila siku ananipa yeye tu alafu mimi sipikagi wala hivyo sitiweza kumpatia na yeye wakati mwingi kama fidia sasa si nitakuwa kama namnyonya?
Natamani niwe nakataa ila sina njia yenye busara maana kuna siku nilimuambia nimeahakula akaniambia weka tu utakula hata baadae, Je.. nitumie njia gani ya kuwa ninakataa chakula chake bila kumfanya ajisikie vibaya?
Achana na huo utaratibu bro!,unatafuta shida,mumewe akigundua,unaweza ukala ngeta,chakula kimenunuliwa na kupikwa kwa gharama za mwanaume mwenzio,we unafakamia tu,bro!Habari wakuu,
As the head above explains, Imekuwa kama inataka kuwa kawaida tu sasa kila nishindapo nyumbani kuna mke wa jirani yangu ikiwa atapika mchana na kujua kuwa nipo basi ni lazima atanigongea mlango baada ya chakula kuiva.
Me ni bachela ndiyo na huwa sipendelei sana kupika kutokana uvivu na ikitokea nimepika basi nimekaanga mayai au kuchemsha so, mara nyingi nikiwa home nashinda zangu ndani na huwa naorder vyakula restaurant kikifika napigiwa simu tu natoka nachukua na kurudi ndani kula.
Tabia hii ya kupewa chakula na jirani yangu imeanza kunikera kwani huwa nafikiria kwamba kila siku ananipa yeye tu alafu mimi sipikagi wala hivyo sitiweza kumpatia na yeye wakati mwingi kama fidia sasa si nitakuwa kama namnyonya?
Natamani niwe nakataa ila sina njia yenye busara maana kuna siku nilimuambia nimeahakula akaniambia weka tu utakula hata baadae, Je.. nitumie njia gani ya kuwa ninakataa chakula chake bila kumfanya ajisikie vibaya?
Kwahiyo na mwanamme anapochepuka anakuwa haridhishwi na mke wake?Wanaume mliooa hakikisheni mnawafikisha wake zenu kileleni...
Hapo huyo mwanamke anaonekana mumewe hamkuni ipasavyo....
Sasa mwanamke wa watu anatafuta mahali pa kupunguza naniliu[emoji23]
💯🤝Mtumie mume wake ujumbe huu kila ukishashiba.
" Asante kwa chakula"
Ww nawe ushaelekeza auko juu namna ya kumwambia unatafuta visababuNakataaje nisim'boe mpishi?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]aiseee nimechekaaaaaaaKifo chako kimekufuata nyumbani sasa
Upendo tu acha ujinga wa kuwaza ngono.Habari wakuu,
As the head above explains, Imekuwa kama inataka kuwa kawaida tu sasa kila nishindapo nyumbani kuna mke wa jirani yangu ikiwa atapika mchana na kujua kuwa nipo basi ni lazima atanigongea mlango baada ya chakula kuiva.
Me ni bachela ndiyo na huwa sipendelei sana kupika kutokana uvivu na ikitokea nimepika basi nimekaanga mayai au kuchemsha so, mara nyingi nikiwa home nashinda zangu ndani na huwa naorder vyakula restaurant kikifika napigiwa simu tu natoka nachukua na kurudi ndani kula.
Tabia hii ya kupewa chakula na jirani yangu imeanza kunikera kwani huwa nafikiria kwamba kila siku ananipa yeye tu alafu mimi sipikagi wala hivyo sitiweza kumpatia na yeye wakati mwingi kama fidia sasa si nitakuwa kama namnyonya?
Natamani niwe nakataa ila sina njia yenye busara maana kuna siku nilimuambia nimeahakula akaniambia weka tu utakula hata baadae, Je.. nitumie njia gani ya kuwa ninakataa chakula chake bila kumfanya ajisikie vibaya?
samahani mkuu, huyo mke wa jirani yako tako analo?Habari wakuu,

Habari wakuu,

utakachokuja kufanyiwa na bwanake pia ulete mrejesho. vijana mnajionaga wajanja sana sometimes
Mtumie mume wake ujumbe huu kila ukishashiba.
" Asante kwa chakula"
mke wa mtu sumu, vijana msijione wajanja. kuna mbaba mmoja tajiri hadi aliweka walinzi kwasababu ya tuvijana hutu, ukiona mke wa mtu anakufuatafuata kimbia, bom litakalotegwa litakupata wewe peke yako, yeye hadhuriki kwasababu mtegaji anajua umuhimu wake kuendelea kulea watoto wake. ndo maana mnalongwa mapema hata ujana hamuuli.
Kama ni bachelor unashinda nyumbani Kwa nini?
Tafuta shughuli ili urudi nyumbani ushakula na usiku Sana
Uwe unarudi Mida ya mumewe ...
Tatizo litaisha
Anakuonea huruma unavyoshindia mayai mayai, subiri akugongee veve.
wala sio hivyo, huyo mke ni kwamba anataka mechi, ipo wazi. mke asiyetaka icho kitu hawezi hata kugusa mlango wa bachela hovyo. wengi tu tulishalishwa na wake za watu na kuoshewa hadi vyombo na wake za watu ila mapenzi yalipozidi, ilibidi tujisalimishe kwa waume zao tukisingizia mkewe anatusumbua ila hatujamla kume alikua mke wetu. na hapo ndipo mahusiano yaliisha kwa namna alivyokuwa ameganda jamaa alikuwa anakuja kujua muda si mrefu na adhabu yake nisingeweza kustahimili kwa namna nilivyomfahamu yule gaidi.
mkwere alisema 'ukitaka kula lazima na wewe uliwe'
Mbona unamuonea huyu mwamba[emoji848] ni mke wa jirani ndie anayepeleka mapochopocho Sasa kosa lake lipo wap?utakachokuja kufanyiwa na bwanake pia ulete mrejesho. vijana mnajionaga wajanja sana sometimes
Mke wa mtu anayepeleka chakula kwa jirani bila kuombwa atakuaje na akili. Hapo wamekutana, ni suala la muda tu.Mshukuru kwa huduma ila mwambie kuwa siku hizi nawe unajipikia sana tu, au huwa unanunua vyakula, hivyo unaogopa kumwaga chakula chako.. kama ana akili ataacha
KweliWanaume mliooa hakikisheni mnawafikisha wake zenu kileleni...
Hapo huyo mwanamke anaonekana mumewe hamkuni ipasavyo....
Sasa mwanamke wa watu anatafuta mahali pa kupunguza naniliu[emoji23]
asome nyakati, akimbie. ushauri tu.Mbona unamuonea huyu mwamba[emoji848] ni mke wa jirani ndie anayepeleka mapochopocho Sasa kosa lake lipo wap?
Wacha wivu mkuu au kama ni mkeo mkataze.