Mke wa Jirani yangu ananipa chakula kila apikapo

Mke wa Jirani yangu ananipa chakula kila apikapo

Huenda akawa anafanya Kwa Nia njema Ila fikra zako ni ovu , anyway dini Kando .. maadili Kando .

Ni mwanadamu huyo hamu anazo
Umesoma uzi ukaona kwamba mimi nina fikira ovu? au unatoa maoni baada ya kusoma maoni ya watu?
 
Hapana mkuu me sili vitu used, nataka tu asinipe chakula chake
Sasa kumbe maamuzi tayari unayo,,,ulikuwa umemisi kutusumbua,wakubwa wenzio??Punguza Utovu wa Nidhamu Dogoo!!!
 
Ipo siku utajuta na hicho chakula, mkumbuke Yusufu wa Bible, alipokataa kumfanya mke wa boss ni nini kilimtokea.
Hapana naheshimiana na huyu dada hawezi kufika huko maana ananiogopa, nataka tu asinipe chakula chake
 
Sasa kama anakukela na haupendi funguka kwa mumewe umalize maneno,
Lasivyo ipo siku KY itakuhusu
 
Kosa la mtoa mada nini?? Kapewa aleee...shida ni kukataa kulaaaa
 
Sasa kama anakukela na haupendi funguka kwa mumewe umalize maneno,
Lasivyo ipo siku KY itakuhusu
Kwamba nikamuambie mumewe kwamba mkewe ananipa chakula na mimi sihitaji, Vp umepata muda wa kupumzika baada ya kazi kweli?
 
Piga menyu mzee ila uwe makini usije pigwa kimba. Siku hizi ukitaka kumla mgoni tigo, humli wewe unakodi wahuni wa stendi unawahaidi mzigo afu unaweka mtego. Ukimnasa mgoni unawavutia waya chapu wanakuja na mafuta. Wahuni wanakujazia maziwa tuu mpaka kwenye utumbo mdogo.
Na ole wako unye wakati unapigwa mashine😁
 
Mkuu umeandika sana, ila bado sijaona ushauri ninaoutaka hapo ebu basi jitahidi umalizie mwisho na jinsi ya kuepukana ili umake sense na uzi wangu...
 
Back
Top Bottom