Mke wa Jirani yangu ananipa chakula kila apikapo

Mke wa Jirani yangu ananipa chakula kila apikapo

Limbwata, hii kitu unaijua wewe? Hufanywa kupitia chakula na humfunga mwanaume kama mbuzi asijitambue wala kujielewa. Kuwa makini.
Limbwata amewekewa nani? Bachelor au mke wa jirani?
 
Wanaume mliooa hakikisheni mnawafikisha wake zenu kileleni...

Hapo huyo mwanamke anaonekana mumewe hamkuni ipasavyo....

Sasa mwanamke wa watu anatafuta mahali pa kupunguza naniliu[emoji23]
Mwanamke malaya anafika kileleni kwa kipimo kipi? We sema wanaume msioe Malaya. Hawa wanawake wa kawaida anaingia ndani keshalowa hata hajaguswa, ukimgusa hata na kidole tayari vibration.
 
Mwanamke malaya anafika kileleni kwa kipimo kipi? We sema wanaume msioe Malaya. Hawa wanawake wa kawaida anaingia ndani keshalowa hata hajaguswa, ukimgusa hata na kidole tayari vibration.
ili nalo mkaliangalie
 
  • Kicheko
Reactions: Tsh
Wanaume mliooa hakikisheni mnawafikisha wake zenu kileleni...

Hapo huyo mwanamke anaonekana mumewe hamkuni ipasavyo....

Sasa mwanamke wa watu anatafuta mahali pa kupunguza naniliu[emoji23]
We si mlokole lakini?
Nimeshtuka.
 
MM nilishawa fanyiwa Hivi ila kikubwa jenga urafiki na mumewe siku nyingine toa pesa, istoshe tusiwe na dhana mbaya kuna mambo mengine Ni Ihsan, kisha naww muungwana
 
Kudadadeki ndio maana kila Siku nakuta mchele umepungua kwa Kasi ndani na nilianza kuona kabisa dalili wewe na mke wangu Kuna kitu Sasa Leo ndio umenihakikishia Ama zangu ama Zako nikirudi home nisikukute nitakachokufanya utajutia maisha yako yote
 
Watu wengi wamekushauri vizuri kwamba usile chakula chake. Kama unaona huwezi kumwambia sikitaki chakula chako na unashindwa kumkatalia haina budi kuhama kwenye hiyo nyumba kawasababu mazoea ya namna hiyo hupelekea mahusiano yenye mapenzi ndani yake.

Yeye anakuonyesha upendo wa kukupa chakula ambacho kinaletwa na mume wake, na huyo mume hajui kama mke wake anakupatia chakula akiwa hayupo. Vipi siku akijua atakuchukuliaje?

Kama unaona ni sawa basi mume naye ajue. Ila nikwambie ukweli kama kisa chako ni cha kweli kuna chembe chembe za hisia za mapenzi kwa huyo mama.

Kuwa makini sana.
 
Wanaume mliooa hakikisheni mnawafikisha wake zenu kileleni...

Hapo huyo mwanamke anaonekana mumewe hamkuni ipasavyo....

Sasa mwanamke wa watu anatafuta mahali pa kupunguza naniliu[emoji23]
Hakuna lolote, ni hulka ya umalaya tu.
 
We endelea tu kula jasho la mwanaume anayesoma kumtafutia mkewe chakula. Ipo siku hayo mayai hapo kwako yatageuka kuwa kilainishi kwenye kalio lako.
Wewe unaliwa
 
Mkuu umeandika sana, ila bado sijaona ushauri ninaoutaka hapo ebu basi jitahidi umalizie mwisho na jinsi ya kuepukana ili umake sense na uzi wangu...

Nimekushauri uwe makini mkuu aya ya kwanza kabisa. Pia usiwe mtumwa wa msosi mzee.
 
Labda kama ana intention nyingine, ila chakula sio cha kumnyima mtu.

Mleta mada angalia maisha ya hao wanandoa kama bado wana struggle usile chakula chao, kama wameshayapatia kiasi kwamba chakula sio tatizo pokea tu kula na usiwaze ujinga, kama huyo dada anawaza ujinga kwa kukuhonga chakula akiona huna mpango nae ataacha tu.

Kikubwa usitembee nae, kosa kubwa sana kuchepushana huku mnaishi nyumba moja.
 
Mkuu mbona umetoa ushauri mzuri Sana na wenye point kubwa kuliko umekaribia kufa nini
 
Back
Top Bottom