T14 Armata
JF-Expert Member
- Mar 7, 2017
- 12,362
- 41,886
Vipi taratibu za kisheria huwa zinazuia mdai kubeba vitu vilivyowekwa dhamana? Maana inawezekana mzozo umetokea kwenye kubeba hivyo vitu na marehemu akatetea mali zao mwishowe ikatokea murder.Tatizo ni kwamba kwenye kudai mkopo kama hata mtu anakuwa mkaidi mahakama zipo wala hawaruhusiwi kumgusa ,its a civil matter, na hawa oya kwa malalmiko tunayoyasikia kila siku wanatumia nguvu kwenye kudai , na huyu mtu ameuwawa dukani kwake akiwa kwenye shughuli zake ,siyo rahisi utuambie huyu mtu mmoja eti awafuate maafisa wa oya wemgi apigane nao ,hata kwa akili ya kawaida tu haiingii
generally hadi mahakama itoe kibali ,ila kuna baadhi ya mikataba inaruhusu kuchukua mali moja kwa mojaVipi taratibu za kisheria huwa zinazuia mdai kubeba vitu vilivyowekwa dhamana? Maana inawezekana mzozo umetokea kwenye kubeba hivyo vitu na marehemu akatetea mali zao mwishowe ikatokea murder.
Hao jamaa wana njaa ya riba. Mtu kakopa, kabakisha marejesho mawili, kashindwa. Badala ya kumfanyia reschedule ya hayo marejesho mawili ili rejesho lipungue unamwongezea mkopo tena halafu unamkata yale marejesho mawili ili umcharge riba kwenye mkopo mpya mkubwa.Dawa ya deni ni kulipa asee
Duhhhh, mkuu umewaza kiwango cha watu wenye IQ kubwa sana. Wakati wengi tunawaza kifo cha Juma na mikopo kausha damu, wewe umewaza sehemu ambayo masikini na matajiri tunakutana. Bravo!!Kumkojoza mwanamke aliyekopa OYA nikazi sana,wanapitia mengi
Walienda kama kampuni usitake kupotosha watu.Ukigongwa na gari la CocaCola utataka kampuni ifungwe sababu haikupewa kibali cha kugonga watu?
Hayo makosa ya wafanyakazi sio maelekezo ya kampuni. Yeye alileta ugomvi wakamzidi bahati mbaya na sheria ichukue mkondo wake. Kampuni haiwezi fungwa kwa makosa binafsi ya wafanyakazi wake.
Sheria inasema kuwa kama mali ni ya wanandoa basi mali hiyo itawekwa dhamana pale tu wanandoa wote wamekubali mali hiyo iwekwe dhamana. Hivyo kama ni mwanandoa mmoja tu amehusika kwenye kuweka dhamana ya mali hiyo, basi mali hiyo haiwezi kuchukulia na mtoa mkopo kwa kuwa ni kinyume na sheria za nchi.Vipi taratibu za kisheria huwa zinazuia mdai kubeba vitu vilivyowekwa dhamana? Maana inawezekana mzozo umetokea kwenye kubeba hivyo vitu na marehemu akatetea mali zao mwishowe ikatokea murder.
Mambo ya wanawake ni pasua kichwa ndg! Omba yasikukute.Hii Nchi hali ya Umasikini wa kipato ni Mkubwa sana
Imagine Mkopo wa shilingi 200,000 wanakaa miezi 3 hadi 6 hadi kushindwa kulipa.
Wakati Mume angechukua hilo Jukumu la kuulipa huo mkopo sidhani kama angeshindwa kulipa walau shilingi 60,000 Kwa Mwezi ambapo ni wastani wa kusevu shilingi 2,000 Kwa Siku
Wala usidhani kuwa chuki dhidi ya Uislamu itakufanya uwe tajiri. Utakufa kama ntavyokufa mim na uislamu utauwacha kama utakavyouacha ukristo wako. Punguza chuki zisizo za lazima.Kampuni ya mwislamu imemuua mwislamu.
Wao naona slogan yao ni "dawa ya deni kuua"Dawa ya deni ni kulipa asee
Chuki gani tena kipenzi cha allah? Kwani kampuni sio ya mwislamu? Aliye uawa sio mwislamu? Au unajitoa akili kama allah?Wala usidhani kuwa chuki dhidi ya Uislamu itakufanya uwe tajiri. Utakufa kama ntavyokufa mim na uislamu utauwacha kama utakavyouacha ukristo wako. Punguza chuki zisizo za lazima.
Nimeona clip anasema elfu 60 alienda kununua smartphoneHawa nao wake zetu wanashida elfu sitini ndio ya biashara Gani?Hao nao oya wapumbavu,ona Sasa majuto mjukuu!
Ni kweli kabisaTanzania masikini wengi ni wa akili
Mtu ni mwepesi kukopa Ila kulipa ni matanga..Kabisa, Umasikini unatufanya tuzae watoto wenye udumavu wa akili pia Kwa kukosa mlo kamili
Hivyo hata uwezo wa kufikiri kwetu unapungua automatic