Mke wa Kaka: Hujapata mwanamke wa kuwa naye?

Nae angemuuliza vp wewe mama O ulipata mtu wa kukutia? Wakati mwingine swali na swali hupatikana jawabu
 
Hii ni chai au ni tukio la kweli?
 
Hii ni nzuri na inavutia
 
umetishaaa
 
Mie navona baba o sio kaka yako bali kuna namna mnayo, mama o karudi home kwake kapata game ya uhakika, kaja kwako anatoa visingizio mama o amemnyima ili uendelee kuamini bado una umuhimu kwa baba o!
 
Tunajua ni ngumu mwanaume kuvumilia zaidi ya wiki mbili, kaka yako kawezaje miezi 6? Lazima tuhoji
Ni swali la aibu sana kama mimi nakurudisha kwenu tena nakuuliza mara 3 nisiporidhirka nakutimua. Swali la udhalilishaji
 
Swali la kichokozi tu..wife kakumiss unamvuta unampa denda la nguvu then unamtia kibabe..kwisha habari yake. Sio kila kitu mnachukulia serious
precedent ya background yenu ni muhimu pia kudictate jibu na mapokeo
 
Anamaanisha kuwa muda wote huo akiwa kwao, lazima kaka yako atakuwa kapata pa kujishikiza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…