Mke wa Kaka: Hujapata mwanamke wa kuwa naye?

Mke wa Kaka: Hujapata mwanamke wa kuwa naye?

Nae angemuuliza vp wewe mama O ulipata mtu wa kukutia? Wakati mwingine swali na swali hupatikana jawabu
 
Mwambie hapo kategwa kuulizwa 'hukupata wa kum**?', hapo ilitakiwa akatae kabisa aape na alambe hadi udongo amuambie 'sijapata mke wangu na siwezi nilikuwa nasubiri tu tamu yako'..!.

asingeamini vile ambavyo angepewa yote na angekuta Mama O yuko wet down there..!!

'Ishini nao kwa akili'...!
Hii ni nzuri na inavutia
 
Mwambie hapo kategwa kuulizwa 'hukupata wa kum**?', hapo ilitakiwa akatae kabisa aape na alambe hadi udongo amuambie 'sijapata mke wangu na siwezi nilikuwa nasubiri tu tamu yako'..!.

asingeamini vile ambavyo angepewa yote na angekuta Mama O yuko wet down there..!!

'Ishini nao kwa akili'...!
umetishaaa
 
Mie navona baba o sio kaka yako bali kuna namna mnayo, mama o karudi home kwake kapata game ya uhakika, kaja kwako anatoa visingizio mama o amemnyima ili uendelee kuamini bado una umuhimu kwa baba o!
 
Tunajua ni ngumu mwanaume kuvumilia zaidi ya wiki mbili, kaka yako kawezaje miezi 6? Lazima tuhoji
Ni swali la aibu sana kama mimi nakurudisha kwenu tena nakuuliza mara 3 nisiporidhirka nakutimua. Swali la udhalilishaji
 
Swali la kichokozi tu..wife kakumiss unamvuta unampa denda la nguvu then unamtia kibabe..kwisha habari yake. Sio kila kitu mnachukulia serious
precedent ya background yenu ni muhimu pia kudictate jibu na mapokeo
 
Sijui hata nianzie sehemu ipi kuelezea na wana MMU mlivyo wavivu kusoma sired ndefu.

Mama O alienda kwao kujifungua watoto mapacha huku kaka akiwa bize kutafta pesa, mama O kajifungua salama akaongeza miezi mitatu kubaki kwao ilipo timia miezi 6 ya mtoto ndio akarejea kwa kaka (baba O).

Mama O alipokelewa vizuri na mashamrashamra kama yote ya 40za mapacha. usiku huo hakuomba game (anasema baba O) kwamba alikuwa na furaha ya mapacha, na ha mama O hakuonesha uhitaji wa hilo.

Siku tatu zilipo fika baba O Akamwambia ”nilimiss”[emoji1][emoji1] mama O kwa mshangao akamwambia “ kwani siku zote hizo hujapata wakumtia [emoji15]”

Baba O anasema hakumjibu kitu ilibidi alale ndio akaja kuniuliza sisi wasicha huwa tunamaanisha nini kuitamka hiyo sentensi kwa mumeo? nikiri tu kwamba mimi sijawahi na sijui amemaanisha nini hapo.

Nafikiri nimeandika walau nimesomeka eti huyu mama O amemaanisha nini kwa kauli hiyo?

Karibuni.
Anamaanisha kuwa muda wote huo akiwa kwao, lazima kaka yako atakuwa kapata pa kujishikiza
 
Back
Top Bottom