Mke wa Kiboko ya Wachawi akamatwe haraka, yuko mbioni kutoroshwa kimafia na wajanja

Hakuna copy mkuu g og yuko mmoja tu mpwaaaaa
 
Ni kinyume na sheria kumkamata maana muhalifu siyo yeye ila ni mume wake anaepaswa kukamatwa ni mume wake
 
Huyo mkewe kakosa nini?
 
serikali ifreeze pesa zake haraka. kama kuna wahusika humu ndani washughulikie haraka. freeze hizo account.
inakuwaje mchawi anakuja kupiga pesa hapa halafu anaondoka nazo wakati tunaona? huko congo wanasema alikimbia baada ya kufanya maajabu, akaona Tanzania ni chaka la bibi. na kweli kapiga na kadanganya watu hadi waliokuwa viongozi.
 
serikali ifreeze pesa zake haraka. kama kuna wahusika humu ndani washughulikie haraka. freeze hizo account.
Mkuuu kama uaminii before hili tukiooo wakishafanya haya mkuu ..serkl inamkono mrefu
 
Kawachapa nao kweli kweli Wake za Watu na Mabinti wa Vyuo Vikuu. Ole wao TACAIDS mwaka huu waje na Takwimu chache za Maambukizi ya UKIMWI Mkoani Dar es Salaam hasa Wilaya ya Temeke.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Ila alikuwa anawalazimisha Kwan mkuu au walikuwa wanataka miujizaa ..hvyo wakakubali kuvua Pichu,na usikute na Kuna wanaume pia wamevuliwa ubingwaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…