Mke wa Makonda ni Raia wa nchi gani?

Mke wa Makonda ni Raia wa nchi gani?

Kwan imekatazwa kuoa wasio raia.afu hebu jadilini mambo ya uongozi wake familia yake ni jambo binafsi
 
Ni mjinga tu anayewaza haya kama mleta uzi huu.Mimi sasa rasmi kuiunga Mkono CCM mara baada ya Makonda kurudi ulingoni mwana Afrika mzalendo wa kweli mtetea Wanyonge sisi.Mungu mbariki Paul Makonda mpe afya njema
 
Nimekuta sehemu mjadala ukizungumzia Makonda kuhamia Kwa wakwe zake nchi jirani nikataka kujua mke wake ni Raia WA nchi gani? Mwenye taarifa atusaidie may be amekimbia kumkwepa Lisu

Vibaraka mpo kazini sasa[emoji16]
 
Back
Top Bottom