Waulize wenye mjadalaNimekuta sehemu mjadala ukizungumzia Makonda kuhamia Kwa wakwe zake nchi jirani nikataka kujua mke wake ni Raia WA nchi gani? Mwenye taarifa atusaidie may be amekimbia kumkwepa Lisu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Waulize wenye mjadalaNimekuta sehemu mjadala ukizungumzia Makonda kuhamia Kwa wakwe zake nchi jirani nikataka kujua mke wake ni Raia WA nchi gani? Mwenye taarifa atusaidie may be amekimbia kumkwepa Lisu
Wahangaza ni warundiMke wake ni mhangaza wa Ngara anaitwa Maria.
sasa alifikaje ngara hapo sijui wakuu!
Mbona hata burundi wako watutsi. Watutsi pia wako tz na uganda.Kangame ni wanyaruanda unajua tofauti ya Mrundi na Mtusi wewe??
Maisha ndiyo yalivyo, huwezi kuishi kwa kujiangalia tuWewe inakusaidia nini???
Jadili vitu vitakavyoongeza kipato kwa familia yako.
Acha “personal za mtu”
Irudishe bana. Halafu kwa taarifa yako wanawake wazee ni watamu sana na experience hasa ukiwafikisha kileleni wanatoaga sauti flani hivi ya kipekee (peculiar) na ndipo hapo uumbaji na utukufu wa mungu unajidhihirisha wazix2. Kwenye sites zetu wanajulikana kama Milf, Mature ama granny.Haaah mkuu watu wananitongoza wanadhani mi kijana kumbe mzee nimeona tu nitoe!
Ha ni kabila linalopatikana Tanzania tu,hususan mkoa wa Kigoma. Makabila yaliyoko Burundi na Rwanda ni Hutu, Tutsi na Twa ambao wote wanatofautiana na waha kwenye lafudhi, matamshi na maana ya baadhi ya maneno.....Andiko hiyo!.Nchi ya Urundi na Rwanda Ina makabila yafuatayo Hal, Tutsi and Hutu
Burundi na Rwanda kote kuna wahutu na watutsi tena watutsi ni wengi zaidi Burundi kuliko wale wa Rwanda,watutsi wa Burundi wanakaribiana namba na wahutu wa Burundi wakati Rwanda namba yao ni ndogo zaidi kulinganisha na wahutu,watu wengi wanachanganya wanajua Tutsi na Hutu ni makabila wakati sio makabila ni ethnic group tu,makabila ni Wanyarwanda,Wanyankole,na Warundi na hakuna lugha ya kihutu na kitutsi Rwanda hawa wote wanaongea kinyarwanda na lugha nyingine za makabila madogo,humu jf kuna kajamaa kanaitwa GENTAMYCINE kanadanganya watu ni Mtutsi halafu eti anasema anaongea lugha ya kitutsi kanajifanya ni kanyarwanda na huku hajui kwamba hakuna lugha unaitwa kitutsi pale RwandaMtusi aanatoka kwenye nchi inaitwa Ruanda na Mrundi anatoka kwenye nchi inaitwa Burundi kama nimekosea naomba msaada wa elimu
Nyie watu watutsi na wahutu sio makabila na hakuna lugha zinazoitwa kitutsi na kihutu bali wote hawa kabila lao ni wanyarwanda na makabila mengine minors katika nchi,watutsi na wahutu pia wanapatikana Uganda,Congo Drc na huko kote hawaongei kihutu wala kitutsi bali wanaongea lugha za makabila yao ya sehemu wanapoishiHa ni kabila linalopatikana Tanzania tu,hususan mkoa wa Kigoma. Makabila yaliyoko Burundi na Rwanda ni Hutu, Tutsi na Twa ambao wote wanatofautiana na waha kwenye lafudhi, matamshi na maana ya baadhi ya maneno.....Andiko hiyo!.
nilikuwa sijaona hii comment afadhali unasaidia kuwaelekeza kwamba hakuna kabila linaitwa watutsi au wahutu hizi ni ethnic group tu kuna watutsi wengi tu katika makabila mengine kama wanyankole,Burundi pia kuna watutsi na hata hapa Tz kuna makabila yana watutsiWewe ndo hujui. Asilimia 70+ ya wakazi wa Rwanda ni wahutu. Wote wanaitwa wanyarwanda.
Burundi pia kuna wahutu na watusi wote wanaitwa warundi
Mhutu mtusi au batwa ni utambulisho tu wa mlolongo wa koo zao, lakini lugha wanayoongea ni Kirundi au Kinyarwanda. Kwa Waha hivyo hivyo lugha yao ni kiha lakini wana tambulisho za koo zao lukuki, mifano mhinda,mgisho, mzilankende.....n.k.Nyie watu watutsi na wahutu sio makabila na hakuna lugha zinazoitwa kitutsi na kihutu bali wote hawa kabila lao ni wanyarwanda na makabila mengine minors katika nchi,watutsi na wahutu pia wanapatikana Uganda,Congo Drc na huko kote hawaongei kihutu wala kitutsi bali wanaongea lugha za makabila yao ya sehemu wanapoishi
Ndio ilivyo hivyo upo. sahihiMhutu mtusi au batwa ni utambulisho tu wa mlolongo wa koo zao, lakini lugha wanayoongea ni Kirundi au Kinyarwanda. Kwa Waha hivyo hivyo lugha yao ni kiha lakini wana tambulisho za koo zao lukuki, mifano mhinda,mgisho, mzilankende.....n.k.
Ndio ilivyo hivyo upo. sahihiMhutu mtusi au batwa ni utambulisho tu wa mlolongo wa koo zao, lakini lugha wanayoongea ni Kirundi au Kinyarwanda. Kwa Waha hivyo hivyo lugha yao ni kiha lakini wana tambulisho za koo zao lukuki, mifano mhinda,mgisho, mzilankende.....n.k.
kwani lisu ni nani mpaka akimbiwe,wabongo bwana mna bongo ndogo sana?????????????Nimekuta sehemu mjadala ukizungumzia Makonda kuhamia Kwa wakwe zake nchi jirani nikataka kujua mke wake ni Raia WA nchi gani? Mwenye taarifa atusaidie may be amekimbia kumkwepa Lisu