Mke wa Makonda ni Raia wa nchi gani?

Mke wa Makonda ni Raia wa nchi gani?

Muda si mrefu tutaanza kuimport wanaume tokea nchi jirani sio kwa vilaza hivi vilivyomo nchi hii, ni takataka,
 
Nimekuta sehemu mjadala ukizungumzia Makonda kuhamia Kwa wakwe zake nchi jirani nikataka kujua mke wake ni Raia WA nchi gani? Mwenye taarifa atusaidie may be amekimbia kumkwepa Lisu
Great mind discuses ideas
Average mind discuses events
Simple mind discusses people
 
Mtusi aanatoka kwenye nchi inaitwa Ruanda na Mrundi anatoka kwenye nchi inaitwa Burundi kama nimekosea naomba msaada wa elimu
Rwanda na Burundi Zina watu wa makabila matatu ambayo ni Waahutu, Watutsi na Watwa. Kwa hiyo Kuna Watutsi waishio Rwanda na Kuna Watutsi waishio Burundi vivyo hivyo kwa Wahutu na Watwa.

Sent from my Redmi Note 8 using JamiiForums mobile app
 
Nimekuta sehemu mjadala ukizungumzia Makonda kuhamia Kwa wakwe zake nchi jirani nikataka kujua mke wake ni Raia WA nchi gani? Mwenye taarifa atusaidie may be amekimbia kumkwepa Lisu
Huyo mke alikuwa anafanyakazi Ifakara Health Institute pale mikocheni kabla Makonda hajawa Bashite wa Kinondoni kisha Dar.

Yanayomkuta Bashite leo ni sehemu pia ya machozi ya huyo mama ambaye anatokana na familia ya marehemu mzee wetu Samweli Sitta
 
Back
Top Bottom