Mke wa Makonda ni Raia wa nchi gani?

Mke wa Makonda ni Raia wa nchi gani?

Mhutu mtusi au batwa ni utambulisho tu wa mlolongo wa koo zao, lakini lugha wanayoongea ni Kirundi au Kinyarwanda. Kwa Waha hivyo hivyo lugha yao ni kiha lakini wana tambulisho za koo zao lukuki, mifano mhinda,mgisho, mzilankende.....n.k.
Kwa hiyo tulitawaliwa na Mzilankende Tanzania akaanza kubagua wenzake kuwa sio Watanzania naomba elimu
 
The Hutu (/ˈhuːtuː/), also known as the Abahutu, are a Bantu ethnic or social group which is native to the African Great Lakes region. They mainly live in Rwanda, Burundi and the eastern Democratic Republic of the Congo, where they form one of the principal ethnic groups alongside the Tutsi and the Great Lakes Twa.

Hutu
Abahutu
Regions with significant populations
Languages
23px-Flag_of_Rwanda.svg.png
Rwanda
11.1–12 million (84%–90% of the total population)[1]
23px-Flag_of_Burundi.svg.png
Burundi
10.4 million (85% of the total population)
20px-Flag_of_the_Democratic_Republic_of_the_Congo.svg.png
DR Congo
2 million (2% of the total population)
Kinyarwanda, Kirundi, French, English
Makabila hayo hayako Tanzania kama tumepakana nao??!!)
 
Mtusi aanatoka kwenye nchi inaitwa Ruanda na Mrundi anatoka kwenye nchi inaitwa Burundi kama nimekosea naomba msaada wa elimu

Umekosea, unachanganya taifa na kabila. Nchi hizo zote zina makabila yote.
 
Yani Chochote kinachotoka mdomoni mnabwabwaja tu. MKE WA MAKONDA NI MMERU PURE MMERU.

NYau nyinyi
Kama ni mmeru aende immigration akajaze fomu za kuthibitisha five generations of her ancestry like every body whom they abused
 
Umekosea, unachanganya taifa na kabila. Nchi hizo zote zina makabila yote.
Tanzania kuna makabila yote yanayopakana na mjirani zake kwa nini Makonda alianza kibagua watu na kuwaita sio Watanzania kama alijua hayo??
 
Kwa hiyo tulitawaliwa na Mzilankende Tanzania akaanza kubagua wenzake kuwa sio Watanzania naomba elimu
Tutatawaliwa na mtu yeyote tu kama atafanikiwa kupata kura za kutosha kushika kiti. Mzilankende ni mtu anayetoka katika ukoo unaomtambua mnyama jamii ya nyani au tumbili kuwa alama yao ya ukoo.... Kama Tanganyika ilivyofahamika kwa mnyama twiga.
 
Burundi na Rwanda kote kuna wahutu na watutsi tena watutsi ni wengi zaidi Burundi kuliko wale wa Rwanda,watutsi wa Burundi wanakaribiana namba na wahutu wa Burundi wakati Rwanda namba yao ni ndogo zaidi kulinganisha na wahutu,watu wengi wanachanganya wanajua Tutsi na Hutu ni makabila wakati sio makabila ni ethnic group tu,makabila ni Wanyarwanda,Wanyankole,na Warundi na hakuna lugha ya kihutu na kitutsi Rwanda hawa wote wanaongea kinyarwanda na lugha nyingine za makabila madogo,humu jf kuna kajamaa kanaitwa GENTAMYCINE kanadanganya watu ni Mtutsi halafu eti anasema anaongea lugha ya kitutsi kanajifanya ni kanyarwanda na huku hajui kwamba hakuna lugha unaitwa kitutsi pale Rwanda
Umefafanua vizuri sana,hakuna lugha ya kitutsi wala kihutu.
 
Tanzania kuna makabila yote yanayopakana na mjirani zake kwa nini Makonda alianza kibagua watu na kuwaita sio Watanzania kama alijua hayo??

Hata sijui, pia sijali ameoa nani na wapi. Niliongelea makabila na mataifa.
 
Mtusi aanatoka kwenye nchi inaitwa Ruanda na Mrundi anatoka kwenye nchi inaitwa Burundi kama nimekosea naomba msaada wa elimu
*ni Rwanda sio Ruanda
Wahutu na watutsi wanapatikana kwenye hizo nchi zote mbili; yaani Burundi na Rwanda.

Kidemografia wahutu ni/walikuwa wengi kuliko watutsi. Tofauti zao zilijengwa kwenye misingi ya ubaguzi na umasikini.

Tangu enzi za kabla na baada ya ukoloni, watutsi walihesabika daraja la juu. Humo walitoka watawala na wenye uchumi imara.

Wahutu walikuwa watumishi/watumwa na walikandamizwa na mifumo iliyoasisiwa na daraja la kitutsi-hili lilichagiza uasi na uhasama wa muda mrefu uliozaa vita kubwa miaka ya 90's angalau wahutu nao walijitutumua na kusimika viongozi wakuu kitaifa japokuwa hawakudumu waliuawa. (Kwasababu za kidiplomasia-Sitaji majina wala sitazama sana, tazama historia nadhani humu wanahistoria wamechambua vema) ila kwa ufupi vita zilichangamka katika nchi zote mbili baada ya tukio lililohusisha viongozi wote. Hapa kwa jicho la uchambuzi yumkini kulikuwa na ushirikiano wa hali ya juu kiinterijensia.
 
Kaa kimya wewe Madevuu

Komoni Chimpumu?
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]......
 
Back
Top Bottom