Jamaa_Mbishi
JF-Expert Member
- Jun 15, 2013
- 9,626
- 6,731
Mtu wa pori lisilo na mpaka, yaani ni Muhazabe.Nimekuta sehemu mjadala ukizungumzia Makonda kuhamia Kwa wakwe zake nchi jirani nikataka kujua mke wake ni Raia WA nchi gani? Mwenye taarifa atusaidie may be amekimbia kumkwepa Lisu
EEEEeeenHEEEEeeeeh!Pakia picha yake mkuu
Burundi hakuna jina MasengeBurundi
Ruanda=LuandaNdg Ruanda ni mji mkuu wa Angola,Rwanda ndo nchi
MMeru kwiooo??Nyarwanda ile arudi kwaoKama ni mmeru aende immigration akajaze fomu za kuthibitisha five generations of her ancestry like every body whom they abused
🤣🤣🤣🤣✍️Nimekuta sehemu mjadala ukizungumzia Makonda kuhamia Kwa wakwe zake nchi jirani nikataka kujua mke wake ni Raia WA nchi gani? Mwenye taarifa atusaidie may be amekimbia kumkwepa Lisu
Naombeni picha tu hilo kwanzaEEEEeeenHEEEEeeeeh!
Wewe jamaa ni mchekeshaji kweli kweli!
Ukishaona picha tu, basi, unajua ni mtu kutoka nchi gani..., inaeleweka, kuna maana nyingi za kuitumia hiyo picha ukiipata.
😂😂😂Kaa kimya wewe Madevuu
Komoni Chimpumu?
Hapana ni Mhaya toka KaragweMtusi aanatoka kwenye nchi inaitwa Ruanda na Mrundi anatoka kwenye nchi inaitwa Burundi kama nimekosea naomba msaada wa elimu
Kwa akili hizi lzm awe ameolewa au vipi?We mmeo anatokea nchi gani?
Mji mkuu wa Angola ni LuandaNdg Ruanda ni mji mkuu wa Angola,Rwanda ndo nchi
Bonge la Mistake.Mtusi aanatoka kwenye nchi inaitwa Ruanda na Mrundi anatoka kwenye nchi inaitwa Burundi kama nimekosea naomba msaada wa elimu
Kuna Wachaga wanatumia Hilo jina.
Nimekuta sehemu mjadala ukizungumzia Makonda kuhamia Kwa wakwe zake nchi jirani nikataka kujua mke wake ni Raia WA nchi gani? Mwenye taarifa atusaidie may be amekimbia kumkwepa Lisu
Watu wana roho mbaya sana aisee🤣Nyie ni watu wa ajabu sana. MKE WA MAKONDA NI MMERU PURE MMERU.
Daudi Mchambuzi Chaliifrancisco wa kupuliza Arushaone