Mke wa mtu ila yupo tayari kutoka nje ya ndoa, kataa ndoa mna point 3 za ushindi

Wakati sasa umefika mtambue kwamba ukimuoa haina guarantee kwamba ni mali yako peke yako.
Na yeye ni binadamu. Akiamua kuliwa ataliwa tu kama ambavyo na wewe unakula wengine na umeoa.
 
Wakati sasa umefika mtambue kwamba ukimuoa haina guarantee kwamba ni mali yako peke yako.
Na yeye ni binadamu. Akiamua kuliwa ataliwa tu kama ambavyo na wewe unakula wengine na umeoa.
Demi katika ubora wako wallah..!!!
 
Ndo maana yake..tunajipa stress za bure tu. Imagine eti uishi na mtu miaka 50 mnapitia milima na mabonde unamla/unaliwa na huyo huyo kila siku in the name of marrige , inawezekana vipi jamani.
Kwani Demi unataka ukulwe na wangapi jamani???
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜!

Ye mwenyewe anajua hawezi kusalimika😁 ! Hakunaga cha buree walai labda me akimuona asimuelewe tu. Sio kwa karne tuliyopo hii
Kwamba za kutolea si za bure na wala mbususu si ya bure..!!
 
Nasemajeeee Nikifikisha salamu niite mbwa nimekaa paleeeeeeeee!! πŸ‘‰πŸ‘‰πŸ‘‰πŸ‘‰
Yule matawii humuwezi Smart 😊😊
Ngoja tuyaache maana ugomvi wa ndugu siyo mzuri haswa ikibainika wanagombania kutenda dhambi...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…