Notorious_Marcc
JF-Expert Member
- Feb 16, 2024
- 2,598
- 6,147
Aliyekimbilia upande huo ni yeye na hiyo ni baada ya kukosa hoja zenye mashiko ππππππwe unapewa Fact unakimbilia Siasa πππ
Mtego huo shtuka! Usijesema hukuonywa...Huyu ni mke wa mtu, nimefanya kumtania tu ila tayari ameingia kwenye kumi na nane.
Binafsi ntachelewa sana kuoa kama wanawake wenyewe ndio hawa...View attachment 3326802
Kutembea kwenda wapi mkuu we huoni raha kuwahadithia wajukuu zako mimi na babu yenu tulioana yaani wajukuu wanakupa heshima ya ziada πππNa wewe utakua kibibi kizee na mapengo yako na pengine mda huo mume wako atakua ameshatembea..
Si ndio ukweli huo mkuu mbona unaukataa πππAliyekimbilia upande huo ni yeye na hiyo ni baada ya kukosa hoja zenye mashiko ππ
Ety hatuwezi kukupa uongozi ukiwa haujaoa tutajua wewe ni muhuni,, 'What the fuckin fact ππ
Kila MLA Cha MWENZAKEMimi kwa busara tu nimeamua nimuache mke wa mtu, lakini bado ananilazimisha,nimemwambia akiendelea kunisumbua ntamtumia picha na video mumewe.
Ni sawa kwa nini mpaka iwe ndoa? Kwani mimi nikiishi kwangu na yeye kwake then tukakutana tu haifai? Huwa na ona mahusiano yahivyo ni salama na mazuri zaidiMimi kinacho nishangaza kitu kimoja mnavyo kataa ndoa kama nyinyi ni wakamilifu vile kumbe wanawake wanajua kuvumilia akichoka analiaa machungu yanapungua .
mwenyekiti ashapatikana kitambo ambaye ni 50cent katibu wake ni chris brown,harakati za kataa ndoa zimeanzia marekani mkuuTafiti zinaonesha kulingana na trend ya matukio kufikia 2050 kila mwanaume aliye chini ya jua atakuwa team KATAA NDOA, na taasisi hii iliyoanzia bongo itakuwa rasmi na yenye mafanikio makubwa sana worldwide.
Kwahiyo muasisi asikae kizembe ili wajukuu wake waje kula kuku kwa mrija. Nikiona anazembea nitajitwisha huo uasisi
Nina haya maswali mawili ya kukuuliza;Huyu ni mke wa mtu, nimefanya kumtania tu ila tayari ameingia kwenye kumi na nane.
Binafsi ntachelewa sana kuoa kama wanawake wenyewe ndio hawa...View attachment 3326802
Mbona kama ulikuwa unachati peke yako?Huyu ni mke wa mtu, nimefanya kumtania tu ila tayari ameingia kwenye kumi na nane.
Binafsi ntachelewa sana kuoa kama wanawake wenyewe ndio hawa...View attachment 3326802
Kwenye kundi la wanaume 100 ambaye atakuwa na shida ya uongozi huenda akawa ni mmoja au asiwepo kabisa. ππS
Si ndio ukweli huo mkuu mbona unaukataa πππ
Kama umechagua hivyo ni sawa mkuu πNi sawa kwa nini mpaka iwe ndoa? Kwani mimi nikiishi kwangu na yeye kwake then tukakutana tu haifai? Huwa na ona mahusiano yahivyo ni salama na mazuri zaidi
Nina haya ya kukuuliza;Ni sawa kwa nini mpaka iwe ndoa? Kwani mimi nikiishi kwangu na yeye kwake then tukakutana tu haifai? Huwa na ona mahusiano yahivyo ni salama na mazuri zaidi
Akikujibu naomba uni tag mkuuππNina haya ya kukuuliza;
1. Kwani unachokiogopa ni ndoa au kugongewa?
2. Kila mtu akikaa kwake, halafu ukagongewa, haitakuumiza?
Nyie ni Wanaume dhaifu kataa ndoa mnao kimbia majukumu tena ni waoga kama sisimizi πππKwenye kundi la wanaume 100 ambaye atakuwa na shida ya uongozi huenda akawa ni mmoja au asiwepo kabisa. ππ
Hoja yake hapo inakuwa ni illogical according na tunacho kijadili hapa π,, nataka hoja ambayo itatugusa wanaume wote bila kujali upande wowote.
ππ umeng'ang'ana kwelikweli na hii point Nuzulati.Nyie ni Wanaume dhaifu kataa ndoa mnao kimbia majukumu tena ni waoga kama sisimizi πππ
Usipooa hutakamilika kivipi jibu kwa hoja
ππππππ umeng'ang'ana kwelikweli na hii point Nuzulati.
Sioni umuhimu wa kujiingiza kwenye ndoa ,sioni umuhimu wa kujiletea changamoto ambazo nilikua ninayo nafasi za kuziepuka na hata nikiziepuka hakuna chochote kitakacho pungua kwangu , wapo wanawake kibao wenye itikadi zangu hivyo hakuna huduma za kimwili nitakazo kosa kama wanyama wengine wapatavyo tu bila hata ndoa.Nina haya ya kukuuliza;
1. Kwani unachokiogopa ni ndoa au kugongewa?
2. Kila mtu akikaa kwake, halafu ukagongewa, haitakuumiza?
πππ umetuita waoga kama sisimizi lakini umesahau kuwa mwenye uwezo wa kumuua tembo kiurahisi ni sisimizi pekee πππππππ